×

BAKWATA Yatangaza Eid El-Fitri 2025 Kuwa Machi 31 au April 1

Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limewatangazia Waislamu na wananchi wote kwa ujumla kuwa Sikukuu ya Eid El-Fitri itakuwa...

READ MORE

Rais Samia Azindua Sera Ya Taifa Ya Maji Toleo La Mwaka 2025 (Picha +Video)

  Rais Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Sera mpya ya Maji ya Mwaka 2002, toleo la 2025, ikiwa ni sehemu...

READ MORE

Lissu, Heche, Lema, wakutana na Raila Kenya

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo; Tundu Lissu , Makamu wake Bara John Heche pamoja na Mjumbe wa Kamati...

READ MORE

Jeshi la Polisi Latoa Tamko Kuhusu Tishio la Kiusalama

Jeshi la Polisi limetoa taarifa kwa umma kuhusu taarifa ya tahadhari ya tishio la kiusalama inayosambaa mitandaoni. POLISI WAFAFANUA TISHIO...

READ MORE

Waziri wa Afya Mhagama: Prof. Janabi Anatosha Ukurugenzi (Who) Afrika

  Waziri wa Afya Jenista Mhagama amesema Prof. Muhamad Janabi ni mtu sahihi ambaye anaweza kuongoza Sekta ya Afya Kanda...

READ MORE

Bodaboda wa Kariakoo Wanufaika na Ujio wa Meridianbet

Meridianbet imeendelea na utaratibu wake kama kawaida wa kurejesha kwenye jamii kile kidogo ambacho wanakipata na safari hii walijikita kwenye...

READ MORE

Nafasi Ya Kazi Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT)

Taasisia ya Taifa ya Usafirishaji (NIT), kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, inawaalika Watanzania wenye uwezo, wachapakazi, wenye...

READ MORE

Sasa Hali Inatisha… Mawazo Yanaua Mamilioni ya Watu

‘USICHUKULIE POA… msongo wa mawazo unaua’. Hiyo ni kauli ya watalaam baada ya kubainika kuwa mtu mmoja kati ya watano...

READ MORE

Papa kufundishwa kuzungumza, kisa oksijeni

Kiongozi wa Kanisa Katoliki, Papa Francis, baada ya kuwa kitandani kwa zaidiya wiki sita sasa analazimika “kujifunza tena kuzungumza” kutokana...

READ MORE

Bondia Mkongwe George Foreman Afariki Dunia

Bingwa wa mara mbili wa mkanda wa dunia wa uzito wa juu na mshindi wa medali ya dhahabu ya Olimpiki,...

READ MORE

Baba: Nikitembea Jicho Linataka Kuanguka, Naomba Msaada – Video

Hujafa hujaumbika! Said Ismail (42), mkazi wa Mbagala Kilungule alikuwa mzima kama walivyo watu wengine lakini kwa sasa, hali yake...

READ MORE

Rais Samia Aleta Mageuzi Sekta ya Afya, Vifo vya Wajawazito Vipungua kwa 80%

KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ally Hapi amesema Rais Dk,Samia Suluhu Hassan amesimama...

READ MORE

Kibu Dennis Avunja Ukame wa Mabao Baada ya Siku 494

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Kibu Dennis aliyeyusha siku 494 ambazo ni wiki 70 bila kufunga bao kwenye Ligi Kuu Tanzania...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Aifariji Familia ya Aliyekuwa Katibu wa CCM Rombo

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na familia ya aliyekuwa Katibu wa CCM...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 22, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Kabila akutana na Mbeki waijadili Mgogoro wa DRC

Rais wa zamani Thabo Mbeki na Joseph Kabila walifanya mazungumzo katika Taasisi ya Thabo Mbeki huko Johannesburg juzi Jumatano, wakijadili...

READ MORE

Waziri Mchengerwa Amuonya Chalamila “Usifanye Maamuzi Ya Barabara Za Mwendokasi Bila Kibali” – Video

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa, ametoa agizo kwa...

READ MORE

Mhandisi Mahundi Atoa Mwezi Mmoja Kwa TTCL Kuboresha Huduma Za Intaneti Mpaka Wa Kasumulu

Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb.), ameziagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)...

READ MORE

Rais Tshisekedi Asema Kongo Kuingia Mkataba wa Madini na Marekani

Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) amesema nchi yake iko tayari kuingia mkataba wa madini na...

READ MORE

Rais Samia Apewa Tuzo ya Mageuzi katika Misitu, Uhifadhi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amepewa tuzo ya Wizara ya Maliasili na Utalii kutambua...

READ MORE