×

Kikosi cha Yanga Kuifuata Singida Black Stars Kesho

INAELEZWA kuwa msafara wa Yanga unatarajiwa kuondoka Jijini Dar es Salaam kesho Jumamosi kwa Treni ya SGR hadi Mkoani Dodoma...

READ MORE

Majaliwa Atembelea Kiwanda Cha Uchakataji Mazao Ya Misitu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo, Machi 21, 2025 amewasili Mkoani Njombe ambapo pamoja na mambo mengine atakuwa Mgeni Rasmi katika...

READ MORE

CCM Yahoji Mamlaka ya ACT-Wazalendo Kuingilia Majukumu ya ZEC

Wakati uandikishaji wa wapiga kura ukimalizika salama Zanzibar, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimehoji ni wapi ACT-Wazalendo kinakopata mamlaka ya kuingilia...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili Namibia kuhudhuria hafla ya uapisho wa Rais Netumbo Nandi

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

READ MORE

Mchengerwa Ashuhudia Utiaji Saini Wa Mikataba Ya Ujenzi Wa Barabara Km. 84 Za Dar – Video

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa leo Machi 21, 2025 ameshuhudia...

READ MORE

Piga Pesa Mechi za Kufuzu Kombe la Dunia

Mabingwa wa odds kubwa Tanzania wanakukaribisha Meridianbet uwe na moja wa watu ambao wanaweza kujiondokea na zaidi ya Mamilioni leo...

READ MORE

Video: Waziri Ulega Awasimamisha Kazi Watumishi Wa Mizani Baada ya Mama Huyu Kukinukisha

Hapo jana, Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, alimuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mhandisi Balozi Aisha Amour, kuwasimamisha kazi...

READ MORE

Kweli Nimeamini Mwanaume na Mwanamke Waliozaa Pamoja Hawaachani Kamwe

Jina langu ni Suma kutokea Kagera, nilikuwa na mwanamke hadi tukazaa nae watoto wawili hapo katikati kukawa na mambo mengi...

READ MORE

Benki ya Stanbic Tanzania Yawafuturisha Wateja Wake

Benki ya Stanbic hapo jana iliandaa Iftar maalum kwa ajili ya wateja wake, iliyofanyika katika Hoteli ya Serena na kuwakutanisha...

READ MORE

Saleh Jembe Awatolea Uvivu Yanga, Ashangaa Kwenda CAS – Video

Mchambuzi wa soka nchini, Saleh Jembe ameeleza kuwa klabu ya Yanga SC wanapaswa kufuata utaratibu maalum katika uwasilishwaji wa malalamiko...

READ MORE

Serikali Yaipongeza CRDB kwa Kuimarisha Huduma za Kibenki Kidijitali

SERIKALI imeipongeza Benki ya CRDB kwa kuandaa Kongamano la Elimu ya Huduma za Benki kwa Njia ya Mtandao (Internet Banking),...

READ MORE

Bosi Azam FC Afungukia Kuhusu Fei Toto

FEISAL Salum, Fei Toto kiungo wa Azam FC ambaye ni namba moja kwenye pasi za mwisho za mabao ndani ya...

READ MORE

Rais Mwinyi ashiriki futari iliyoandaliwa na Rais Samia Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 21, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Achangia Sh.Milioni 50 Kumuenzi Padri Shirima

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu...

READ MORE

Yanga Yavunja Rekodi Za Simba Ndani Ya Dakika 90

BAADA ya dakika 90 Kwenye Kariakoo Dabi ya Wanawake kukamilika na ubao kusoma Simba Queens 0-1 Yanga Princess rekodi ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Mstaafu Pinda Afurahishwa na Ilipofikia VETA

Dar es Salaam, 20 Machi 2025: Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mizengo Pinda, leo ametembelea kwenye...

READ MORE

Finland Ya Kwanza Kuwa Na Watu Wenye Furaha Zaidi Duniani

Finland imeorodheshwa ya kwanza kama nchi yenye watu wenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa nane mfululizo. Kulingana na ripoti...

READ MORE

Mama Aangua Kilio Hadharani, Nyumba Yake Yauzwa Kwa Mnada Kulipa Deni Alilokopa La Milioni 30 Benki – Video

Mwanamama Asha Ramadhan, Mkazi wa Kimara Golan jijini Dar es Salaam, amemlilia Rais Samia Suluhu Hassan amsaidie kufuatia nyumba aliyokuwa...

READ MORE

TFF Yaufungulia Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungulia uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kutumika kwa michezo ya Ligi baada ya...

READ MORE