×

RC Chalamila Atolea Ufafanuzi Changamoto Ya Bi. Martha Na Amana Hospitali – Video

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amekutana na kufanya mahojiano na Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Amana,...

READ MORE

Shigongo Amshukuru Rais Samia Kwa Mradi Mkubwa wa Maji Maisome

Mbunge wa Buchosa Eric Shigongo ametiza ahadi ya ujenzi wa mradi mkubwa maji ya bomba utakao huduma wakazi 16983 wa...

READ MORE

Mke Wangu Amenisingizia Jambo la Uongo Lililonitia Aibu Kupita Kiasi sana

Jina langu ni Jamal kutokea Pwani, katika maisha yangu, kamwe siwezi kusahau miaka kama saba iliyopita ambapo shemeji yangu alinifungulia...

READ MORE

Prince Dube Mchezaji Bora Mwezi Februari, Kocha Bora ni wa Yanga

Mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Prince Mpumelelelo Dube amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu ya NBC...

READ MORE

Zifahamu Athari za Kunywa Pombe Kupindukia!

UNYWAJI wa pombe kupitia kiasi si mzuri kwa afya yako, kitu kilichothibitishwa kisayansi miaka kadhaa iliopita. Katika kipindi cha miaka...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 12, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

DC Mwangwala: Elimu ya Kodi Itaisaidia Taifa

Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Raymond Mwangwala akizungumza na maafisa Forodha kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania, hivi karibuni wakati maafisa...

READ MORE

CCM Yaweka Ukomo Nafasi za Ubunge, Uwakilishi na Udiwani wa Viti Maalum

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeweka ukomo wa vipindi viwili vya miaka mitano kwa nafasi za ubunge/uwakilishi na udiwani wa viti...

READ MORE

Rais Samia Awachana Ma-RC Na Ma-DC Wanaotaka Ubunge – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Machi 11, 2025 amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu...

READ MORE

Nafasi Za Kazi BRELA Mwisho wa maombi ni leo Machi 11, 2025

  Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha...

READ MORE

Rais Samia Amuonya Waziri Mchengerwa Kusimamia Mapato ya Serikali – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amemuonya Waziri wa Tamisemi, Mohamed Mchengerwa na kumwambia kama hatawachukulia hatua viongozi wa chini yake wanaoshindwa...

READ MORE

Benki ya Exim Yazindua Huduma ya Lipa ChapChap Kuongeza Malipo ya Kidijitali

Benki ya Exim Tanzania imezindua rasmi huduma yake mpya inayojulikana kama Lipa Chapchap, suluhisho bunifu la malipo ya kidijitali ambalo...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF, Ikulu Chamwino Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika...

READ MORE

Ubunifu wa FinTech na Biashara Changa Kupitia “Wazo Challenge” Wahamasishwa

Dar es Salaam 23 Machi 2025: Benki ya Absa Tanzania, kwa kushirikiana na Hindsight Ventures, imezindua Wazo Challenge Tanzania, mpango...

READ MORE

Johan Borgstam, Mjumbe Maalum wa Umoja wa Ulaya Afanya Ziara Nchini

Johan Borgstam, Mjumbe Maalum wa Umoja wa Ulaya (EUSR) kwa Mkoa wa Maziwa Makuu, ametembelea Tanzania kuanzia tarehe 10 hadi...

READ MORE

Nafasi za Kazi 231 Wizara ya Afya, Mwisho wa kutuma maombi Machi 19, 2025

Wizara ya Afya anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 231 kama ilivyoainishwa...

READ MORE

Mbinu Sahihi Kwa Anayetaka Kuolewa!

Maisha yanaenda kasi sana huku suala la ndoa likiwa ni kipaumbele cha kwanza na kigumu kwa wanawake. Matokeo yake wengi...

READ MORE

Bashiri Na Meridianbet Mechi Za Uefa Leo

Hatimaye leo ndio leo asemaye kesho muongo kwani, leo ndio itajulikana nani anaaga mashindano ya ligi ya mabingwa kwa mechi...

READ MORE

Rais wa Zamani Wa Ufilipino Akamatwa

Rais wa zamani wa Ufilipino, Rodrigo Duterte amekamatwa kwa hati maalum kutoka Mahakama ya Uhalifu wa Kivita (ICC) kufuatia tuhuma...

READ MORE

Wakuu Wa Usalama Barabarani Watakiwa Kusimamia Sheria Na Kanuni Za Usalama Barabarani Kikamilifu

Wakuu wa Usalama Barabarani wa Mikoa na Wilaya wametakiwa kuongeza kasi katika usimamizi wa Sheria, kanuni na taratibu za Usalama Barabani ili kuwadhibiti madereva wanaokiuka…

READ MORE