×

Nafasi za Kazi 10 Halmashauri ya Wilaya ya Ileje, Mwisho wa maombi Machi 6, 2025

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje anawatangazia Watanzania wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya...

READ MORE

Rais Samia Amsaida Carina Kwenda India Kutibiwa, Atokwa Machozi – Video

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Hawa Hussein Ibrahim, maarufu kama Carina, ameondoka leo kuelekea India kwa ajili ya matibabu baada...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Ukarabati Wa Hospitali Ya Wilaya Ya Korogwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Afya, Jenista Mhagama kutoa fedha kwa...

READ MORE

Mamlaka Za Serikali Za Mitaa Zatakiwa Kubuni Miradi Ili Kuondokana Na Utegemezi

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Zainab Katimba, amezitaka Mamlaka za Serikali za...

READ MORE

Waziri Kikwete Azindua Miradi ya Bil 1.6 Wilayani Songwe – Video

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi , Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amezindua miradi ya Elimu, Umeme...

READ MORE

Doto Biteko Awapongeza Benki ya Exim Kuzindua Tawi Wilayani Kahama

Benki ya Exim imedhihirisha dhamira yake ya kujenga ujumuishi wa kifedha na kupanua huduma zake kwa kuzindua rasmi tawi jipya...

READ MORE

Balozi Dkt. Nchimbi Afanya Mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 25, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Rais Samia: Serikali Inaendelea Kubuni Mbinu Kukabiliana na Wanyama Wakali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaendelea kubuni mbinu mbalimbali za kukabiliana...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Afungua Jengo La Halmashauri Ya Bumbuli-Lushoto (Picha+Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Jengo la Almashauri ya Bumbuli Wilaya ya Lushoto...

READ MORE

Brazil Yatoa Mafunzo Ya Usalama Kwa Vyombo Vya Usalama Tanzania

Brazil imetoa mafunzo maalum ya kukabiliana na uhalifu katika mikusanyiko mikubwa, viwanja vya michezo, Viwanja vya ndege, sehemu za mikusanyiko...

READ MORE

Siku Nyingine Ya Kufurahia Early Payout Ya Meridianbet

Leo ni siku nyingine ya kufurahia chaguo jipya lililoletwa kwako na mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet la Early payout,...

READ MORE

Ujerumani Yatoa Onyo Dhidi Ya Marekani

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Annalena Baerbock amesema Ulaya haipaswi kusita kuweka shinikizo dhidi ya Marekani, iwapo nchi...

READ MORE

Kabila: Uongozi Mbaya Wa Rais Tshisekedi Umezidisha Mzozo

Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila amesema kuwa, uongozi mbaya wa mrithi wake, Rais...

READ MORE

Papa Francis Hali Tete, Akutwa Na Tatizo La Figo

Shirika la Habari la AP, usiku wa kuamkia leo, Jumatatu, Februari 24, limeripoti kuwa Papa Francis yupo mahututi huku vipimo...

READ MORE

Scholz Hatarini Kuangushwa Ukansela Ujerumani

Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz, amekalia kuti kavu katika uchaguzi unaoendelea ambapo matokeo ya awali yanaonesha kuwa mpinzani wake, Friedrich...

READ MORE

Watanzania Wamheshimisha Dk. Biteko Kili Marathon Leo

Kilimanjaro, 23 Februari 2025: Wanariadha wa Kitanzania wameng’ara katika mbio za Kimataifa za Kilimanjaro mwaka huu, ambapo Hamis Misai alishinda...

READ MORE

Kadi Nyekundu Ya Derick Mukombozi dhidi ya Simba Yafutwa

KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imefuta adhabu ya kadi nyekundu (Red Card) aliyooneshwa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi...

READ MORE

Polisi Wadaiwa Kujiunga Na M23 Bukavu

Mamia ya askari wa Jeshi la Polisi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wanadaiwa kujiunga na waasi wa M23 katika...

READ MORE

Majaliwa: Endelezeni Mafunzo Ya Dini kutoa fursa kwa watoto na vijana

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa madhehebu ya dini kuendelea kufundisha na kuimarisha elimu ya dini ili...

READ MORE