×

vurugu Za Tanda Chuo Kikuu Cape Town

Mwaka wa masomo 2025 katika Chuo Kikuu cha Cape Town (UCT) ulianza kwa vurugu baada ya wanafunzi kuandamana wakipinga vizuizi...

READ MORE

Waziri Mkuu Akutana Na Balozi Wa Umoja Wa Ulaya Nchini

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Februari 18, 2025 amefanya mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Christine Grau, Ofisini...

READ MORE

Wamarekani, Wacanada Watwangana Kwenye Mechi

Wamarekani na Wakanada wametwangana ngumi katika mechi ya hoki ya barafu baada ya wimbo wa taiifa wa Marekani kuzomewa. Kwa...

READ MORE

DRC: Jeshi La Rwanda Limeingia Bukavu

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imesema kuwa jeshi la Rwanda na washirika wake wameingia katika mji wa...

READ MORE

NSSF Yatanga Uhakiki Kwa Wastaafu Na Wategemezi Wanaolipwa Pensheni Ya Kila Mwezi

Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) unawatangazia wastaafu na wategemezi wote wanaolipwa pensheni ya kila mwezi kuwa kutakuwa...

READ MORE

Mrembo Asimulia Jinsi Alivyoachana na Mpenzi Wake Kisa Hamridhishi Faragha

Kama mtayarishaji maudhui wa YouTube ninayeishi Thika Town nchini Kenya, maisha yangu yamekuwa kitabu cha umma ambacho mamilioni ya watu...

READ MORE

ODDS KUBWA na Machaguo Makubwa Yapo Hapa

Hatimaye leo ndio siku ya maamuzi kwa baadhi ya timu kama wataendelea kusalia ligi ya mabingwa Ulaya aua wataaga mashindano....

READ MORE

Afungwa Miaka Mitatu Jela Kwa Kung’ata Watu Wawili

Mahakama ya Wilaya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu kwenda jela miaka mitatu Mkazi wa Kijiji cha Soswa wilayani humo, Amos John...

READ MORE

Mwili Wa Mwanamuziki Tabia Mwanjelwa Kuzikwa Leo Mbeya

Mwili wa mwanamuziki mkongwe, Tabia Shabani Mwanjelwa, aliyefariki Januari 25, 2025, huko Saarbrücken, Ujerumani, umewasili Dar es Salaam jana na...

READ MORE

Candy’s Bonanza Inamwaga Mkwanja

Kupitia mchezo wa Kasino wa Candy’s Bonanza wewe mpenzi wa michezo ya kasino unaweza kujishindia mamilioni, Kwani umeibuka kua mchezo...

READ MORE

Mamia ya wafanyakazi wa safari za ndege Marekani wapoteza ajira

Utalawa wa Trump umeanza kufuta kazi mamia ya wafanyakazi wa idara ya safari za anga na kusababisha hali ya sintofahamu...

READ MORE

Nafasi Za Kazi 2,611 MDAs NA LGAs Mwisho wa Maombi Februari 20, 2025

Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi...

READ MORE

Rais Mwinyi: Wasanii Wana Mchango Muhimu Katika Jamii

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Wasanii wana Mchango muhimu wa Kuhamasisha jamii...

READ MORE

Halmashauri Ya Chamwino Yapongezwe Kwa Usimamizi Wa Miradi

Kamati ya kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeipongeza Halmashauri ya Chamwino Kwa kuonyesha na kusimamia thamani ya fedha katika ujenzi...

READ MORE

Watu 80 Wanusurika kifo Katika Ajali ya Ndege Canada

Takribani watu 18 wamejeruhiwa baada ya Ndege ya Ndege ya Delta namba 4819 iliyokuwa ikitokea Minneapolis Marekani kwenda Toronto, Canada...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 18, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Waziri Mkuu Aliyekamatwa Kısa Rushwa Atoka Kwa Dhamana

Mahakama nchini Mauritius imemuachia kwa dhamana Waziri Mkuu wa zamani, Pravind Jugnauth aliyekamatwa jana Jumapili kwa tuhuma za rushwa na...

READ MORE

Maalim Seif  Kuombewa Dua Leo 

“Ndugu wananchi wa Zanzibar na Watanzania kwa ujumla, kwa masikitiko makubwa nakujulisheni leo tarehe 17 Februari, 2021, majira ya saa...

READ MORE

Afrika Kuwa Na Mwakilishi Baraza La Usalama UN

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) amesema sio sawa kwa bara la Afrika kutokuwa na kiti cha mwakilishi wa...

READ MORE

Makamu wa Rais wa Afanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Innovo ya Uingereza

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu...

READ MORE