×

Balozi Nchimbi: CCM Haitavumilia Wanaokiuka Kanuni

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameonya vikali wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani, uwakilishi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 20, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Uchukuaji wa Namba Kili International Marathon Waanza kwa Kasi Arusha

Baadhi ya wakazi wa Jiji la Arusha wamewapongeza waandaaji wa mbio za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon kwa kitendo cha...

READ MORE

Diamond Na Rita Wachafua Hali Ya Hewa Mitandaoni – Video

Usiku wa kuamkia hii leo Februari 19, 2025 mitandao ya kijamii imechafuka baada ya kusambaa kwa video za mahaba zinazomuonesha...

READ MORE

Unakosaje mashuka bora na ya kisasa kwenye chumba chako? Yapo Hapa

Unakosaje mashuka bora na ya kisasa kwenye chumba chako? Unaambiwa chumba cha kulala bila mashuka safi na mazuri hakina maana....

READ MORE

Mume Wa Rihanna Ashinda Kesi Mahakamani

Jopo la majaji jijini Los Angeles, Jumanne, Februari 18, limemuachia huru rapa maarufu kwa jina la A$AP Rocky baada ya...

READ MORE

Usiku Wa Ligi Ya Mabingwa Ulaya Ni Usiku Wa Kupiga Mkwanja

Najua umekaa unajiuliza katikati ya wiki utapata wapi mchongo wa pesa ondoa shaka ligi ya mabingwa barani ulaya inaendelea leo,...

READ MORE

UN: Hapana; Afrika Kukosa Kiti Baraza La Usalama

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, hakuna kisingizio cha kuifanya Afrika iendelee kuwa haina uwakilishi wa kudumu...

READ MORE

Prof. Mkenda Azindua Bodi ya Wakurugenzi ya Nguvu za Atomiki

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, akitoa cheti kwa Mwenyekiti wa bodi ya Tume za Atomiki Tanzania...

READ MORE

Jaji Amruhusu Elon Musk Kupunguza Wafanyakazi

Jaji wa Mahama nchini Marekani ameruhusu idara inayoongozwa na Elon Musk, inayojulikana kama Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), kuendelea...

READ MORE

Uganda Yatuma Vikosi Zaidi Nchini DRC

Msemaji wa Jeshi la Uganda Brigedia Jenerali Felix Kulayigye amethibitisha kuwa Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo (UPDF) limeingia kwenye...

READ MORE

Jeshi La Polisi Lafanya Ukaguzi Magari Ya Shule Za Udereva, Latoa Elimu Mfumo Mpya Wa Leseni.

Katika kuhakikisha Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha unaendelea kudhibiti ajali zinazosababishwa na madereva wasio na...

READ MORE

Trafiki Wabambwa Wakila Mlungula

Maofisa watatu wa polisi wa usalama barabarani jijini Nairobi, Kenya wamekamatwa na kitengo maalum cha kuzuia rushwa wakipokea rushwa kutoka...

READ MORE

Wasira Azungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen M. Wasira, akizungumza na Mhe. Eunju Ahn, Balozi wa Jamhuri wa Korea Nchini, Ofisi...

READ MORE

Msemaji Mkuu wa Serikali Akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari

Kufuatia kuelekea uchaguzi mkuu wa Serikali unaotarajiwa kufanyika mwaka huu wa 2025 katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na...

READ MORE

Stanbic Yatoa Elimu ya Ujuzi wa Fedha kwa Watoto wa Wateja Wao Jijini Mwanza

Elimu ya Ujuzi wa Fedha ya Benki ya Stanbic Tanzania inaendelea kuhimiza utoaji wa elimu ya fedha kupitia mpango wake...

READ MORE

Tanzania na Misri Kushirikiana Kukuza Sekta ya Utalii

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, zimekutana kujadiliana namna bora ya kushirikiana katika...

READ MORE

Nafasi za Kazi 1,596 TRA Kada Mbalimbali, Mwisho wa maombi ni leo Feb 19

TRA inapenda kuajiri watumishi wenye sifa, uwezo na maadili kushika nafasi za kazi katika Idara ya Mapato ya Ndani, Forodha...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 19, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Upendo Waendelea Kusambazwa Siku ya Wapendanao kwa Wajasiriamali

KATIKA kile kilichoelezwa kuwa ni  kujali stori za maisha ya wajasiriamali wadogo wanaojishughulisha na uchuuzi  wa maua, Benki ya Absa...

READ MORE