×

Wolper Ajilipua Harusi Ya Hamisa Na Aziz Ki, Msikilize Mwanzo Mwisho – Video

Msanii wa sanaa ya Uigizaji nchini, Jackline Wolper amefunguka na kueleza kuwa, Aziz KI na Mobetto wanapaswa kupendana na kusikilizana...

READ MORE

Maskini Carina! Mshono Wafumuka Tena Ghafla, Alia Maumivu – Video

Mwanadada aliyewahi kujihusisha na sanaa ya Bongo Muvi, Carolinahawa Hussein, kwa mara nyingine tena anakabiliwa na tatizo la utumbo wake...

READ MORE

Mazito! Wema Atupa Bomu Kwa Mobetto “Sina Cha Kumshauri, Akiona Hana Furaha Aondoke” – Video

Mwanamitindo na Msanii wa Sanaa ya Uigizaji nchini, Wema Sepetu amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa endapo Mobetto hatopata...

READ MORE

Giggy Money Acharuka, Aanika Penzi La Pacome, Shughuli Ya Hamisa Na Azizi KI – Video

Mwanamitindo Gigy Money, amefunguka na kueleza kuwa, Hamisa Mobetto alikuwa anampenda sana Aziz KI jambo lililopelekea kukubali kufunga naye ndoa.

READ MORE

Balozi Nchimbi: CCM Haitavumilia Wanaokiuka Kanuni

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameonya vikali wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani, uwakilishi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 20, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Uchukuaji wa Namba Kili International Marathon Waanza kwa Kasi Arusha

Baadhi ya wakazi wa Jiji la Arusha wamewapongeza waandaaji wa mbio za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon kwa kitendo cha...

READ MORE

Diamond Na Rita Wachafua Hali Ya Hewa Mitandaoni – Video

Usiku wa kuamkia hii leo Februari 19, 2025 mitandao ya kijamii imechafuka baada ya kusambaa kwa video za mahaba zinazomuonesha...

READ MORE

Unakosaje mashuka bora na ya kisasa kwenye chumba chako? Yapo Hapa

Unakosaje mashuka bora na ya kisasa kwenye chumba chako? Unaambiwa chumba cha kulala bila mashuka safi na mazuri hakina maana....

READ MORE

Mume Wa Rihanna Ashinda Kesi Mahakamani

Jopo la majaji jijini Los Angeles, Jumanne, Februari 18, limemuachia huru rapa maarufu kwa jina la A$AP Rocky baada ya...

READ MORE

Usiku Wa Ligi Ya Mabingwa Ulaya Ni Usiku Wa Kupiga Mkwanja

Najua umekaa unajiuliza katikati ya wiki utapata wapi mchongo wa pesa ondoa shaka ligi ya mabingwa barani ulaya inaendelea leo,...

READ MORE

UN: Hapana; Afrika Kukosa Kiti Baraza La Usalama

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, hakuna kisingizio cha kuifanya Afrika iendelee kuwa haina uwakilishi wa kudumu...

READ MORE

Prof. Mkenda Azindua Bodi ya Wakurugenzi ya Nguvu za Atomiki

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, akitoa cheti kwa Mwenyekiti wa bodi ya Tume za Atomiki Tanzania...

READ MORE

Jaji Amruhusu Elon Musk Kupunguza Wafanyakazi

Jaji wa Mahama nchini Marekani ameruhusu idara inayoongozwa na Elon Musk, inayojulikana kama Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), kuendelea...

READ MORE

Uganda Yatuma Vikosi Zaidi Nchini DRC

Msemaji wa Jeshi la Uganda Brigedia Jenerali Felix Kulayigye amethibitisha kuwa Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo (UPDF) limeingia kwenye...

READ MORE

Jeshi La Polisi Lafanya Ukaguzi Magari Ya Shule Za Udereva, Latoa Elimu Mfumo Mpya Wa Leseni.

Katika kuhakikisha Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha unaendelea kudhibiti ajali zinazosababishwa na madereva wasio na...

READ MORE

Trafiki Wabambwa Wakila Mlungula

Maofisa watatu wa polisi wa usalama barabarani jijini Nairobi, Kenya wamekamatwa na kitengo maalum cha kuzuia rushwa wakipokea rushwa kutoka...

READ MORE

Wasira Azungumza na Balozi wa Jamhuri ya Korea Nchini

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen M. Wasira, akizungumza na Mhe. Eunju Ahn, Balozi wa Jamhuri wa Korea Nchini, Ofisi...

READ MORE

Msemaji Mkuu wa Serikali Akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari

Kufuatia kuelekea uchaguzi mkuu wa Serikali unaotarajiwa kufanyika mwaka huu wa 2025 katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na...

READ MORE

Stanbic Yatoa Elimu ya Ujuzi wa Fedha kwa Watoto wa Wateja Wao Jijini Mwanza

Elimu ya Ujuzi wa Fedha ya Benki ya Stanbic Tanzania inaendelea kuhimiza utoaji wa elimu ya fedha kupitia mpango wake...

READ MORE