×

Makamu wa Rais wa Afanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Innovo ya Uingereza

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu...

READ MORE

Shilingi Trilioni 8.2 Zatumika Kukopesha Wanafunzi Katika Kipindi Cha Miaka 20 – Majaliwa.

▪️Asema Serikali ilifuta tozo za kulinda thamani ya fedha ili kuondoa changamoto katika urejeshaji wa mikopo. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa...

READ MORE

PM Majaliwa Atoa wito Uwekezaji wa NMB Katika Elimu Uigwe

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za umma na binafsi kuiga mfano wa Benki ya NMB katika kuwekeza...

READ MORE

Trump Atangaza Kukutana Na Putin

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Jumapili jioni kuwa atakutana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, katika siku za usoni....

READ MORE

Odinga: Nimeridhishwa na matokeo ya uchaguzi wa AUC

Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga amesema ameridhishwa na mchakato wa uchaguzi wa kumtafuta Mwenyekiti mpya wa Kamisheni...

READ MORE

Majaliwa Amwakilisha Rais Dkt. Samia Kwenye Kilele Cha Maadhimisho Ya Miaka Ishirini Ya Heslb

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Februari 17, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka...

READ MORE

Shakira Ashindwa Kufanya Shoo, Akimbizwa Hospitali

Staa wa Pop duniani, Shakira, amelazimika kukatisha shoo yake nchini Peru na kukimbizwa hospitali baada ya kupatwa na maradhi ya...

READ MORE

Mke Aangua Kilio Baada ya Mumewe Kutembea na Mama Yake

Kulikuwa na drama na zogo katika mtaa wa Tom Mboya Estate, Kisumu nchini Kenya baada ya mwanaume mmoja aliyeoa kufanya...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Maendeleo Ya Mradi Wa Ujenzi Uwanja Wa Ndege Shinyanga

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amemtaka mkandarasi wa ujenzi wa uwanja wa ndege wa Shinyanga afanye kazi usiku na mchana ili...

READ MORE

Nafasi za Kazi 72 TARI, NIRC, NSI, EWURA na PSRS Maombi Mwisho leo Feb 17

Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Taasisi ya Taifa ya Sukari (NSI), Mamlaka...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 17, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Leyla Genius Atokwa Machozi, Zari Mapito Amfanyia Surprise Valentine – Video

Habari njema! Binti Leyla (23) aliyepata scholarship ya kusomea udaktari India na kukatisha masomo yake kwa ugonjwa, tayari ameanza mazoezii...

READ MORE

Wizara Yatakiwa Kubuni Mazao Mapya ya Utalii Kwenye Eneo la Amboni

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kubuni mazao mapya ya...

READ MORE

Aziz Ki Afunga Ndoa na Hamisa Mobetto

Mwanamitindo, muigizaji na msanii wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania, Hamisa Mobetto leo, Februari 16, 2025 amefunga ndoa na...

READ MORE

Majaliwa: Rais Dkt. Samia Ni Tiba Ya Maendeleo, Kiongozi Anayeona

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu Ndugu Kassim Majaliwa...

READ MORE

Vijana 132 Wakamatwa Pwani Kwa Kujihusisha Na Biashara Ya Kitapeli, RPC Pwani Afunguka Tukio Zima – Video

Vijana takribani 132 wenye umri wa kati ya miaka 18 na 22 kutoka mikoa mbalimbali, hasa ya pembezoni mwa Tanzania,...

READ MORE

Jipatie Ushindi Mkubwa Zaidi Na Bet Boost Kutoka Meridianbet!

Kampuni inayoongoza kwa ubashiri wa michezo, Meridianbet, inawaletea wateja wake ofa kabambe ya BET BOOST! Ofa hii ni maalum kwa...

READ MORE

Rais Dk. Mwinyi Apokewa Kwa Kishindo Pemba

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Hussein Ali Mwinyi amezisisitiza Jumuiya za Chama Cha Mapinduzi kuwahamasisha Wanachama na Wananchi kujiandikisha na...

READ MORE

Waarabu Wote UN Wapinga Kutimuliwa Wapalestina Gaza

Kundi la Waarabu katika Umoja wa Mataifa, pamoja na kundi la mabalozi wa Umoja wa Mataifa, wamepinga vikali mipango yoyote...

READ MORE

Mwili Wa Mwanjelwa Kuwasili Nchini Jumatatu

Mwili wa mwanamuziki mkongwe, Bi. Tabia Shabani Mwanjelwa, aliyefariki dunia Januari 25, 2025, huko Saarbrücken, Ujerumani, anakoishi na familia yake,...

READ MORE