×

Mtoto Wa Zuma Atiwa Mbaroni Kwa Tuhuma Za Ugaidi

MTOTO wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, Duduzile Zuma-Sambudla, amekamatwa na kufikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya ugaidi....

READ MORE

Gumzo Albamu Mpya ya Bruce Melodie

STAA wa muziki nchini Rwanda, Bruce Melodie ameachia albamu yake mpya iitwayo ‘Colorful Generation’ ambayo ni moto wa kuotea mbali...

READ MORE

Stanbic Yatoa Wito wa Uwekezaji Katika Sekta ya Nishati na Ushirikiano wa Kikanda

Kadiri Afrika Mashariki inavyoelekea katika zama mpya za mageuzi ya sekta ya nishati, Tanzania inachukua nafasi muhimu katika kuunda mustakabali...

READ MORE

Circumference Ya Bebe Cool Yazidi Kupasua Anga

MKONGWE katika muziki nchini Uganda, Bebe Cool anazidi kuchanja mbuga na kibao chake ‘Circumference’ alichoachia hivi karibuni. Singo hiyo ambayo...

READ MORE

Kundi la waasi wa M23 Latishia kusonga mbele hadi Kinshasa

Kundi la waasi wa M23 Alhamisi limeapa kusonga mbele kuelekea mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kinshasa, huku...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 31, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

A-Z Ndoa Ya Barack Obama Na Michelle Kudaiwa Kuvunjika, Mambo Si Shwari – Video

Ni dhahiri kwamba miongoni mwa ndoa za watu mashuhuri zilizokuwa na mashabiki wengi duniani katika miaka ya hivi karibuni, ni...

READ MORE

TRA Yahamishia huduma zake katika jengo la Diamond Plaza

Kufuatia ajali ya moto iliyotokea leo Januari 30, ambayo imeathiri jengo la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) lililopo Kariakoo, mamlaka...

READ MORE

Dkt. Biteko Aongoza Waombolezaji Kuaga Miili Ya Wanafunzi Waliofariki Kwa Radi Geita

Leo Januari 30, 2025 mkoani Geita, maelfu ya waombolezaji wamejitokeza kuaga miili ya wanafunzi saba wa Shule ya Sekondari Businda...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Chakula Cha Mchana Na Walioshiriki Uokoaji Jengo Kariakoo (Picha + Video)

Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki chakula cha mchana na watendaji wa vikosi mbalimbali pamoja na watu walioshiriki katika shughuli ya...

READ MORE

Meridianbet Yapeleka Msaada Zahanati ya Alimaua

Katika kuendelea kuisadia jamii kwenye mahitaji mbalimbali, Meridianbet waliamua kufika katika zahanati ya Alimaua na kutoa msaada wa mashuka ambapo...

READ MORE

Jengo La TRA Kariakoo Lateketea Kwa Moto, Jeshi La Zimamoto Watinga Kuuzima – Video

Moto mkali umezuka leo Januari 30, 2025 katika Jengo la TRA lililopo eneo la Lumumba, Kariakoo – Dar es salaam....

READ MORE

Mobetto na Aziz Ki Waweka hadharani Uhusiano Wao – Picha

KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC, Stephanie Aziz Ki, pamoja na mwanamitindo, muigizaji, na msanii wa muziki wa kizazi...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Kikao cha Dharura EAC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa 24 wa Dharura wa Wakuu wa...

READ MORE

Exim Bank Yapanua Wigo Wake kwa Kuipokea Canara Bank Tanzania

Exim Bank Tanzania imekamilisha rasmi ununuzi wa Canara Bank Tanzania! Huu ni ununuzi wa tatu ndani ya miaka sita, ikizidi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 30, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Mahakama Yamhukumu Raia wa Canada Kwa Kuisababishia Hasara Serikali

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtia hatiani Abdi Warsam Raia wa Canada mwenye asili ya Somalia na kuamuliwa kurudisha kiasi...

READ MORE

NMB Yavunja Rekodi ya Ufanisi kwa Matokeo ya Kihistoria ya Mwaka wa Fedha 2024

Matokeo haya mazuri ya kifedha yamechagizwa na utekelezaji makinii wa mkakati wa Benki na uwekezaji endelevu katika kutumia uwezo wa...

READ MORE

Wassira Awasili Geita, Kuzindua Maadhimisho Miaka 48 Ya CCM – Video

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amewasili mkoani Geita kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo...

READ MORE

Lissu Akabidhiwa Ofisi, Afungukia Uchaguzi, Ataka Wanachama Kuungana – Video

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amekabidhiwa leo ofisi yake na Katibu Mkuu wa chama hicho...

READ MORE