×

Rais Samia Apiga Kura Chamwino, Asimama Kwenye Foleni Na Wananchi Wengine – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amepiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi kwenye Uchaguzi...

READ MORE

Mkurugenzi Mkuu WHO Atoa Pole kifo cha Dkt Faustine Ndugulile

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Ghebreyesus ametuma salamu za pole Tanzania kufuatia kifo cha mkurugenzi mteule...

READ MORE

Katibu wa NEC Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Rabia Apiga Kura

Katibu wa NEC Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndg. Rabia Abdalla Hamid amewasili mtaa wa Masaki, Wilaya ya...

READ MORE

CPA Makalla Ashiriki Katika Kupiga Kura, Afurahishwa na Hali ya Utulivu Uchauzi Serikali za Mitaa

KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi CCM Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA Amoss Makalla ameshiriki kikamilifu kupiga...

READ MORE

MultiChoice, Vodacom Tanzania Wazindua Showmax Tanzania

MultiChoice Tanzania imetangaza ushirikiano na Vodacom Tanzania PLC, kampuni inayoongoza katika mawasiliano ya simu nchini, kwa ajili ya kuzindua Showmax...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko Apiga Kura Bukombe Geita

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ametimiza haki yake ya Kikatiba katika Kata ya Bulangwa, Wilayani...

READ MORE

RC Makonda Ashiriki Uchaguzi Serikali Za Mitaa, Aomba Wananchi Kujitokeza Kwa Wingi

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda leo Jumatano Novemba 27, 2024 ameungana na Watanzania wengine kushiriki kwenye uchaguzi...

READ MORE

Rais Samia Atuma Salamu za Pole Kifo Cha Ndugulile

Kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile, Rais Samia Suluhu Hassan kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii,...

READ MORE

Vyama vya upinzani vya Afrika Kusini vyataka kesi dhidi ya Ramaphosa ifufuliwe

Vyama viwili vya upinzani vya Afrika Kusini Jumanne vimeomba Mahakama ya Juu ifufue kesi ya kutokuwa na imani na Rais...

READ MORE

Tigo Yabadili Jina na Sasa Inaitwa Yas

Honora Tanzania Public Limited (“Tigo”) na Honora Tanzania Mobile Solutions Limited (“Tigo Pesa”), ambazo ni sehemu ya kampuni ya AXIAN...

READ MORE

Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile Afariki nchini India

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, ametangaza kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni, Dkt....

READ MORE

Meridianbet Yafanikiwa Kuinua Wenye Uhitaji Tandale

Nani mwingine kama sio Meridianbet ambapo Novemba 26, 2024 wameendelea kuonesha namna wanathamini uwepo wa jamii inayowazunguka, Kwani wamefanikiwa kutoa...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya leo Novemba 27, 2024

KURASA ZA MAGAZETI YA LEO . Karibu kusoma kurasa za magazeti ya Leo kupitia @255globalradio na kufuatilia uchambuzi kupitia kipindi...

READ MORE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar Awataka Vijana Kuwa Wabunifu Kuendana na Sera za Uwekezaji

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Sharif Ali Sharif amewataka vijana wa Kitanzania kubuni miradi...

READ MORE

Wana CCM Wote Kesho Tuungane na Dkt. Samia Kwenda Kupiga Kura-CPA Makalla

“Kampeni tulizozifanya katika siku zote 6 na mimi sijapumzika nimefanya kampeni katika majimbo nane ya Uchaguzi wa Jiji la Dar...

READ MORE

Balozi Nchimbi Ahitimisha Kampeni Akihamasisha Watanzania Kujitokeza Kupiga Kura

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa za...

READ MORE

Jamaa Akabidhiwa Subaru Forester Mpyaa Baada ya Kuibuka Mshindi na ‘Spend & Win’

Mshindi wa kwanza wa kampeni ya Tumia na Ushinde ‘Spend & Win’ ya Benki ya Absa Tanzania, Bw. Rashidi Saidi...

READ MORE

Jumanne ya Kibosi na Meridianbet ni Hii

Je unajua kuwa siku ya leo imekaa kibosi?. Kama hujui sababu basi mimi nitakwambia ni kwamba Ligi ya Mabingwa Ulaya...

READ MORE

Makamu wa Rais Awahamasisha wananchi kujitokeza kushiriki zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi katika kushiriki zoezi...

READ MORE

Yanga Yashindwa Kutamba kwa Mkapa, Yakubali Kipigo cha Mabao 2-0 kutoka kwa Al Hilal

Klabu ya soka ya Yanga imekubali kichapo cha mabao 0-2 kutoka Kwa Al Hilal ya nchini Sudan, katika mchezo wa...

READ MORE