×

Amuua Mkewe Baada Ya Kulewa, Mashuhuda Waeleza – Video

Mwanamke mmoja kazi wa Mtaa wa shule, kata ya Kiloleni mkoani Tabora aliyejulikana kwa Jina la hawa Juma amekutwa ameuwawa...

READ MORE

Meridianbet Yatoa Msaada Ali Maua Kijitonyama

Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wameendelea walipoishia kwani Oktoba 30, 2024 tena wamefanikiwa kutoa msaada eneo la...

READ MORE

Zuhura Yunus Awataka Madereva Kuzingatia Tija, Ufanisi Katika Utendaji Kazi Wao

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Zuhura Yunus, amewataka Madereva kuzingatia tija...

READ MORE

Waziri Wa Mambo ya Ndani Amtaka RPC Kukomesha Kero ya Wizi Kikwajuni

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Zanzibar, Mhandisi Hamad Masauni, amemtaka Kamanda wa...

READ MORE

Vita ya Trump, Kamala Yahamishiwa Kwenye Ubashiri

Wakati joto la uchaguzi mkuu wa Rais wa Marekani uliopangwa kufanyika Novemba 5, 2024 likipanda, kampuni nyota ya michezo ya...

READ MORE

Safiri Zaidi, Lipa Kidogo: Dubai na Johannesburg kwa Air Tanzania

Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imezindua ofa ya “Safiri Zaidi, Lipa Kidogo” kwa abiria wake wanaosafiri kati ya Zanzibar –...

READ MORE

Tume Ya Madini Kuzima Mfumo wa Zamani Ili Kuruhusu Mfumo Ulioboreshwa Kufanya Kazi

Tume ya madini inautaarifu umma wa watanzania kuwa kutakuwa na maboresho ya mfumo wa utoaji na usimamizi wa leseni za...

READ MORE

Nafasi Za Kazi 79 Hospitali Ya Taifa Muhimbili, Mwisho wa kutuma maombi Novemba 3, 2024

Kwa niaba ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inawaalika Watanzania mahiri, makini, wenye...

READ MORE

Wadau wa Afya Wakusanyika Arusha Kujadili Bima ya Afya Kwa Wote

Kongamnao kuhusu Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote na Mdahalo wa Kitaifa kuhusu Mpango wa Ufadhili wa Sekta ya...

READ MORE

Mradi wa Sh 60 Bilioni Kuleta Mapinduzi ya Huduma za Usafiri Ziwa Victoria

Serikali ya Tanzania imewekeza Sh60 bilioni kuboresha bandari tatu kuu za Ziwa Victoria. Meneja wa Bandari za Ziwa Victoria, Erasto...

READ MORE

Kwa Nini Rodri Na Sio Vinicius?

Usiku wa Oktoba 28, 2024 katika ukumbi wa Théàtre du Chátelet ulioko Jijini Paris, Ufaransa kulifanyika halfa ya ugawaji wa...

READ MORE

Rais Samia Alivyozungumza Na Wenza Wa Marais

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Wenza wa Wakuu wa nchi...

READ MORE

NECTA Yatangaza Matokeo ya Darasa la Saba 2024, Yapo Hapa

DAR-Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani ya darasa la saba mwaka 2024 huku ufaulu wa jumla ukiongezeka...

READ MORE

Rushwa Ya Ngono Sababu Ya Kudumaza Vipaji Kwa Wanawake

SOKA la Wanawake linazidi kukua kila iitwapo leo kutokana na wachezaji kupata fursa ya kucheza kitaifa na kimataifa. Yote haya...

READ MORE

Kihenzile Aongoza Ujumbe Wa Tanzania Red Cross Nchini Uswiswi

David Kihenzile, Rais wa Redcross Tanzania leo Oktoba 29, 2024 ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye Ufunguzi wa Mkutano wa 34...

READ MORE

Kiungo wa Man City Rodri Ashinda tuzo ya Ballon d’Or 2024

Kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Uhispania, Rodrigo Hernández Cascante almaarufu Rodri ameshinda tuzo ya Ballon d’Or...

READ MORE

Dkt. Abbasi: Hakuna Kizuizi Kufikia Watalii Milioni 5 Mwaka 2025

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, amesema kwa mikakati ya kutangaza Utalii inayotekelezwa na Serikali...

READ MORE

Tanzania na Urusi Kushirikiana Kuendeleza Utalii

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imekubaliana kushirikiana na Nchi ya Urusi katika...

READ MORE

Majaliwa Ateta Na Waziri Wa Uchumi Wa Urusi jijini Dar

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Waziri wa Uchumi na Maendeleo wa Shirikisho la Urusi, Bw. Maxim Reshetnikov na kujadiliana...

READ MORE

Milango ya Rais Samia Iko Wazi, Anawakaribisha Viongozi Wa Dini : Dkt. Biteko

  *Dkt. Biteko Amwakilisha Rais Samia Jubilei ya Miaka 50 ya AICT Magomeni, Achangia Milioni 100 Ujenzi wa Kanisa *Atoa...

READ MORE