×

Rais Samia Kuzindua Tamasha la Kitaifa la Utamaduni viwanja vya Maji Maji Ruvuma

NAIBU Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma maarufu Mwana FA amesema Tamasha la Kitaifa la Utamaduni litakuwa la...

READ MORE

Mke Akiri Kuisaliti Ndoa Yake na Kutoka Kimapenzi na Mchungaji Wake

Kijana mmoja aitwaye Juma mwenye umri wa miaka 36 kutokea Kiambu nchini Kenya alipigwa na bumbuwazi alipogundua kuwa mke wake...

READ MORE

Baada ya utambulisho wa Lameck Lawi klabu ya Simba, Uongozi wa Coastal Union Wafunguka Mazito

Baada ya utambulisho wa Lameck Lawi kama mchezaji mpya wa klabu ya Simba, Uongozi wa Coastal Union kupitia kwa Afisa...

READ MORE

Bilionea Atoa Mchango wa Bilioni 131 kwa kampeni ya Trump

TIMU ya kampeni za urais za Donald Trump imepokea jeki ya $50m (Tsh 131,250,000,000.00 ) kutoka kwa bilionea Timothy Mellon....

READ MORE

Mwanafunzi wa Sekondari Auawa na vibaka wakati wakitaka kumpora simu – Video

Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Temeke, Joseph Mafuru (15) ameuawa na watu wanaotajwa kuwa vibaka wakati...

READ MORE

NSSF Yashiriki Mkutano wa ATE, Yazungumzia Msamaha wa Tozo na Matumizi ya Tehama

Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umeshiriki mkutano mkuu wa 65 wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE). Mkutano...

READ MORE

Simba Yamsajili beki wa kati Lameck Lawi kutoka Coastal Union

Klabu ya Simba imetangaza kumsajili beki wa kati Lameck Lawi (18) kutoka Coastal Union baada ya klabu hiyo kufikia dau...

READ MORE

Washiriki wa Mbio za NBC Dodoma Marathon Kutumia Treni ya SGR Kwenda Dodoma

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeingia makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji na Shirika la Reli Tanzania (TRC) yanatoa fursa...

READ MORE

Mambo Ya Zigo la Euro Na Hisense Yakiendelea, Wananchi Wazidi Kuneemeka Na Zawadi Mbalimbali  

Wananchi wameendelea kunufaika na Kampeni ya Zigo la Euro na Hisense inayoendeshwa na Kampuni ya mtandao wa simu ya Tigo...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya leo Juni 21, 2024

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA!   Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara moja kwa wiki Ijumaa, sasa limekuja kivingine....

READ MORE

Rudisha Hadi 10% ya Unachopoteza Kwenye Kasino

Unaijua Kasino wewe!? Je, ni mara ngapi umewahi kupigwa pesa zako? Sasa usiwaze tena kuhusu kuliwa tu, Kasino ya Meridianbet...

READ MORE

DC Magoti Aingia Site, Atembelea Mradi wa Uwekezaji

Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Mhe.Petro Magoti amefanya kikao kazi na wataalam wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya...

READ MORE

Rais Samia Ashusha Neema Kyela

RAIS SAMIA ASHUSHA NEEMA KYELA   Serikali kupitia Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) itarasimisha makazi yasiyorasmi...

READ MORE

Tusua na Meridianbet Mechi za EURO Leo

Utamu wa michuano ya EURO unazidi kunoga ukibeti mechi zako na Meridianbet sasa. Usisubiri kuhadithiwa na mtu yoyote huku ni...

READ MORE

Majaliwa: Ma-Rc, Ma-Dc Anzisheni Operesheni Maalum Za Ulinzi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wahakikishe kila halmashauri inaanzisha operesheni maalum za ulinzi...

READ MORE

Brela- Ada Ya Usajili Wa Kampuni Zinaanzia Shilingi Elfu 20 Hadi Milioni 50

  WAKALA wa wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA) wamezitaja ada za usajili wa kampuni mpya ambapo gharama zake zinaanzia...

READ MORE

Ndugu wa Wanaodaiwa Kujiuza Sinza Wajitokeza Viunga Vya Mahakama Kudai Ndugu zao

Watuhumiwa Wanaodaiwa kukamatwa katika maeneo ya Sinza siku kadhaa zilizopita wakidaiwa kufanya biashara ya kuuza miili yao wamefikishwa jana Juni...

READ MORE

Mangungu Amteua Kailima Ramadhani Kuwa Mjumbe Wa Bodi Simba

  Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Ally Mangungu amemteua, Dr. Kailima Ramadhani Kombwey kuwa mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi...

READ MORE

Vuna Bonasi ya Kasino Hadi Tsh 2,500,000/= Meridianbet

Kasino ya Meridianbet inamwaga bonasi kibao kila kukicha, kama bado hujapata bonasi ya kasino kwenye akaunti yako, Jisajili hapa kisha...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili Jijini Dar baada ya kuhudhuria Uapisho wa Rais wa Afrika Kusini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Juni 19, 2024 amewasili Jijini Dar es Salaam mara baada...

READ MORE