×

Msama Atekeleza Maagizo Ya Waziri Wa Ardhi

Dar es Salaam 30 Machi 2024: Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama ametekeleza agizo la Waziri wa Ardhi,...

READ MORE

Madereva Bodaboda 300 Jiji La Tanga Wapatiwa Mafunzo Ya Usalama Barabarani

MADEREVA bodaboda wapatao 300 waliopo katika Jiji la Tanga wamepatiwa mafunzo ya usalama barabarani yenye lengo la kusaidia kumaliza changamoto...

READ MORE

Xabi Alonso Athibitisha Kubaki Bayer Leverkusen

KOCHA wa Bayer Leverkusen, Xabi Alonso amethibitisha kuwa atabaki klabuni hapo licha ya fununu zinazoendelea kumhusisha na kuondoka huku vilabu...

READ MORE

Video: Mashabiki Simba ‘Wamwaga Machozi’, Walaumu Kosa Kosa Za Onana Na Saido

Mambo si mazuri kwa kwa mashabiki wa Simba, baada ya timu yao kukubali kichapo cha goli 1-0 kutoka kwa AlAhly...

READ MORE

Mtoto wa Yoweri Museveni Aahidi Kuimarisha Jeshi la Uganda

Mtoto wa kiume wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameahidi kupambana na ufisadi ndani ya jeshi baada ya kuchukua usukani...

READ MORE

Mfanyabiashara Aokolewa Akitaka Kujichoma Moto Ndani Ya Ghorofa Lake Na Mwanaye Arusha – Video

Mfanyabiashara aokolewa akitaka kujichoma moto ndani ya Ghorofa lake na Mwanaye jijini Arusha. ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️...

READ MORE

Dola milioni 26 Zachangishwa kwa ajili ya kampeni za Biden mjini New York

Barack Obama, Bill Clinton pamoja na watu wenye majina makubwa kwenye tasnia ya burudani waliungana pamoja huko New York Alhamisi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 30,2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Simba Yakubali Kipigo Cha Goli 1-0 Kutoka Kwa Al Ahly

MABINGWA watetezi, Simba SC wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Simba SC katika mchezo wa kwanza wa Robó...

READ MORE

Mbunge wa Simanjiro Ole Sendeka Ashambuliwa kwa Risasi na watu wasiojulikana

MBUNGE wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka ameshambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana akiwa ndani ya gari...

READ MORE

Wale Jamaa Wa Nitumie Hela Namba hii Wadakwa, 11 Waswekwa Gerezani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu wakazi 11 wa Ifakara Morogoro kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya...

READ MORE

Wadau Mbalimbali Wakutanishwa Na Puma Energy kwenye Iftar

Dar es Salaam, 28 Machi 2024: KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Tanzania imewakutanisha wadau mbalimbali katika Iftar iliyoandaliwa na Kampuni...

READ MORE

Aliyetaka Kuvunjiwa Nyumba Arusha Akubali Kumlipa Mwenzie Mbele Ya Waziri Silaa

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amefanikiwa kumaliza mgogoro wa wakazi wawili ambao ni Victoria Chiwangu...

READ MORE

Usimdharau Usiyemjua, Soma Kisa cha Mke wa Obama na Mpenzi Wake!

Siku moja jioni Rais Obama alimshauri mkewe wakale dinner mtaani huko Washington katika mgahawa wowote wa watu wa kawaida. Wakakubaliana...

READ MORE

Tsh 100 Inakupa TV, Smartphone na Ushindi Mkubwa kwenye Super Heli Kasino

Shinda zawadi nyingi huku unacheza na kufurahia maajabu ya mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni, Super Heli tena unashinda kwa...

READ MORE

Ajali ya basi yaua watu 45 nchini Afrika Kusini jimbo la Limpopo

Watu 45 wamekufa na mmoja kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kuanguka kutoka kwenye daraja nchini Afrika...

READ MORE

Wema Sepetu: Sipendi Misiba Wala Baby Shower, Najisikia Vibaya, Moyo Wangu Mwepesi – #Exclusive Video

Wema Sepetu ambaye ni nyota wa filamu hapa Bongo, ameweka wazi kuwa kamwe hawezi kuacha kumpenda Lola, mpaka mwisho wa...

READ MORE

Zuma akataliwa kugombea urais Afrika Kusini

Maafisa wa tume ya uchaguzi nchini Afrika Kusini Alhamisi walisema kwamba wamemuondoa rais wa zamani Jacob Zuma kwenye kiny’anganyiro cha...

READ MORE

Simba Yamtangaza Waziri Wa Maji Mgeni Rasmi Dhidi Al Ahly Leo

Klabu ya Simba imemtangaza Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kuwa mgeni rasmi wa mchezo wa robo fainali Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Mashabiki wa Simba Wapata Ajali Chalinze, Pwani

Basi dogo aina ya Costa lililobeba mashabiki wa Klabu ya Simba limepata ajali mapema alfajiri ya leo eneo la Vigwaza...

READ MORE