×

Waziri Dk. Ndumbaro Awaagiza Wasanii Kujiunga Na Mfuko Wa Hifadhi Ya Jamii Ili Waje ‘Kukokotoa’ Mafao

Dar es Salaam 6 Machi 2024: Waziri wa Sanaa Utamaduni na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro amewaagiza wasanii nchini kujiunga na...

READ MORE

Simba Wachapwa Mabao 2-1 na Tanzania Prisons Morogoro

SIMBA wakitumia Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kama wa nyumbani wamechapwa mabao 2-1 na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi...

READ MORE

Yafahamu Mataifa 5 Tajiri, Mataifa 5 Maskini Zaidi Barani Afrika 2024

Bara la Afrika linatajwa kuwa maskini zaidi duniani, huku umaskini wa bara hili ukichangiwa na hali ya uchumi kuyumba, ukosefu...

READ MORE

Mchezo Mpya wa Super Heli Kasino Wakubali na Mamia ya Watanzania

Haya Haya ni takribani wiki imeisha tangu kutambulishwa kwa mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni pale Meridianbet, unaitwa Super Heli...

READ MORE

Mangungu: Simba Haijauzwa, Haitouzwa, Muulizeni Yeye Mo Dewji

Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Ally Mangungu amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni hivi karibuni kuwa klabu hiyo imenunuliwa na mwekezaji...

READ MORE

TANROADS Kutekeleza Miradi ya Kimkakati Ujenzi wa Barabara Tanga

Serikali ya awamu ya Sita kupitia (TANROADS) inaendelea kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati ya ujenzi wa barabara Mkoani Tanga ambayo...

READ MORE

Ni Kazi ya Kawaida Lakini Mafanikio Yake Siyo ya Kawaida

Jina langu ni Neemia, kwa sasa nipo Arusha, Tanzania, nimetoka mkoani Tanga, nilikuwa kule kwa miezi sita kikazi, nilikuwa nafanya...

READ MORE

Kada wa CCM Neema Mghen Achangia Mifuko 50 Ujenzi Wodi ya Wazazi Ushetu

  Kada wa Chama Cha Mapinduzi Wilayani Bi Neema Mghen amechangia mifuko 50 ya Saruji yenye thamani ya shilingi milioni...

READ MORE

Wadau wa Utalii Duniani Wavutiwa Kuwekeza Nchini Tanzania

Kampuni kubwa zinazojishughulisha na masuala ya utalii duniani zimevutiwa kuwekeza nchini Tanzania katika huduma za malazi, usafirishaji na utangazaji utalii....

READ MORE

LSF na ENABEL Wasaini Mkataba wa Billion 10.7 Kuimarisha Huduma ya Upatikanaji Haki nchini

  Legal Services Facility (LSF) na Enabel, shirika la maendeleo la Ubelgiji, wamesaini rasmi mkataba wa ruzuku wa bilioni 10.7...

READ MORE

Miradi Ya Maji Safi, Salama Na Usafi Wa Mazingira Ya SBL Yawawezesha Wanawake

Mwanza 5 Machi: Kampuni ya bia ya Serengeti imeendeleza juhudi zake za kuimarisha upatikanaji wa huduma za maji, usafi wa...

READ MORE

Washindi wa Vuna Na Tigo Pesa Wanufaika Na Zawadi Mtwara

Kampuni ya huduma za mtandao wa simu za mkononi ya Tigo Tanzania imewakabidhi zawadi mbalimbali zikiwemo Televisheni tano, simu janja...

READ MORE

Chama Cha Wafanyabiashara Wanawake Tanzania TWCC Chahimiza Wanawake Kushiriki Tuzo Za Viwanda

Dar es Salaam, 5 Machi, 2024: Chama cha Wanawake WafanyabiasharaTanzania (Tanzania Women Chamber of Commerce -(TWCC) leo kimefanya mkutano na...

READ MORE

Rais Samia Amteua Dkt. Prosper Lutangilo Mgaya kuwa Mkuu wa Chuo cha NIT

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Dkt. Prosper Lutangilo Mgaya kuwa Mkuu wa...

READ MORE

Chomoka Na Bajaj Ndio Habari Ya Mjini na mizunguka 10 ya bure Meridianbet

Kampuni ya Meridianbet kwa kushirikiana na kampuni inayotoa huduma ya simu za mkononi ya Tigo kupitia huduma yake ya Tigo...

READ MORE

Elon Musk Afunguliwa Kesi ya Madai na Wafanyakazi Aliowafukuza Twitter

Watendaji Wakuu wa Mtandao wa X (zamani Twitter) ambao walifukuzwa kazi baada ya Elon Musk kuununua Mtandao huo, wamefungua Kesi...

READ MORE

Bei Za Mafuta Zapanda, Kuanza Kutumika Leo Machi 6, 2024

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei mpya za mafuta zitakazoanza kutumika leo Jumatano Machi...

READ MORE

CUBA na Tanzania Kuendelea Kuimarisha Ushirikiano Katika Maeneo ya Kimkakati

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Cuba,...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 6, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Khadija Majanga Amwaga Machozi Akisimulia Mwanaye Alivyofia Swimming – Video

Msanii wa Bongo Muvi, Khadija Majanga amefunguka kwa uchungu jinsi alivyompoteza mtoto wake wa kike, ambaye alifariki kwenye bwawa la...

READ MORE