×

Zijue Hasara za Ushauri wa Kimapenzi kwa rafiki yako?

KARIBU tena msomaji wangu katika kona yetu hii ya Sindano za Mahaba. Natumai ni mzima wa afya bila shaka unaendelea...

READ MORE

Ahmed Ally Akiri Bila Kupepesa – ”Tumefanya Vibaya,Tusifanye Tena Makosa Kwenye Usajili” – Video

Klabu ya Simba SC itacheza mashindano ya kimataifa katika kombe la shirikisho Afrika msimu ujao, Afisa Habari wa klabu Ahmed...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 29,2024

Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya za Simba na...

READ MORE

Yanga waishushia kipigo kizito Tanzania Prisons – Video

Klabu ya Yanga imefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa mwisho wa...

READ MORE

Aziz KI aibuka mfungaji Bora Ligi Kuu, Fei Toto chali – Tazama mabao yote

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki ndiye Mfungaji Bora kwenye NBC Premier League msimu huu wa 2023/24 akiwa na...

READ MORE

Simba Yaangukia Shirikisho, Azam Klabu Bingwa

Licha ya kumaliza kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya JKT Tanzania, Wekundu wa Msimbazi Simba SC wameishia nafasi ya tatu...

READ MORE

Msimamo baada ya Ligi Kuu 2023/24 kumalizika

Mechi nane za Ligi Kuu ya NBC zimepigwa kwenye viwanja vinane tofauti leo, Jumanne, Mei 28, 2024, ambazo zilikuwa mechi...

READ MORE

Makonda Awasili Ofisi Za CCM Wilaya Ya Kichama Ya Arumeru

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amewasili kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi, wilaya ya kichama ya Arumeru...

READ MORE

Waziri wa Kazi Atembelea Mtibwa Sugar, Aitaka OSHA Kukamilisha Uchunguzi wa Ajali

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi, ametembelea kiwanda cha kuzalisha sukari...

READ MORE

Rommy: Ni Kweli Nimeachana Na Shilole, Nimekubali Matokeo Maisha yaendelee…

ALIYEKUWA mume wa msanii wa Bongo Muvi na mjasiriamali anayemiliki mgahawa maarufu wa Shishi Food, Zuwena Mohamed almaarufu Shilole aitwaye...

READ MORE

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Namibia Afanya Ziara Makao Makuu ya JWTZ Dar

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Namibia, Air Marshal Martin Kambulu Pinehas na ujumbe wake amefanya ziara ya kikazi nchini...

READ MORE

NBC Yakabidhi Kombe La Ubingwa Wa Vijana (U20) Kwa Kagera Sugar FC

Mdhamini mkuu wa Ligi ya Vijana chini ya miaka 20 (U20 Youth League) Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekabidhi...

READ MORE

Tigo Zantel na ZMOTION SOLUTIONS Wazindua “Lipa Ada” Zanzibar:

Zanzibar, Mei 28, 2024 – Kampuni inayoongoza katika kuhakikisha mtanzania anaishi Maisha ya kidigitali,Tigo Zantel, kwa kushirikiana na ZMOTION SOLUTIONS,...

READ MORE

Kampeni msaada wa kisheria yaanza Ludewa

  MKUU wa Wilaya ya Ludeva mkoani Njombe, Victoria Mwanziva amesema kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia ‘Mama...

READ MORE

RC Makonda: Tutaendelea Kuenzi Mazuri Ya Hayati Lowassa

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amewaahidi wakazi wa Monduli kwamba Serikali ya Mkoa itahakikisha inatimiza maono ya...

READ MORE

Waziri Ndejembi: Mmeona Umuhimu wa Kujisaji WCF, Atoa Pole Kwa Waliopoteza wapendwa wao

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Deogratius Ndejembi, amesema ni matarajio ya...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 28, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

RC Makonda Apiga Marufuku Wauguzi Arusha Kuzuia Maiti

MKuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amepiga marufuku tabia ya wahudumu wa afya katika vituo vyote vya kutolea...

READ MORE

CMSA Yaongeza Thamani ya Uwekezaji Katika Masoko ya Mitaji Kwa Asilimia 23.2

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imesema utekelezaji wa mipango na mikakati ya Serikali imekuwa na matokeo chanya...

READ MORE

Kinana Asema Kampeni ya Nishati Safi Iliyoanzishwa na Rais Dk. Samia Inalenga Kumtua Mwanamke Mzigo Kichwani

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulurhaman Kinana amesema kampeni ya nishati safi iliyoanzishwa na Rais Dk....

READ MORE