×

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Ijumaa, Januari 12, 2024

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 12, 2024 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Makamu wa Pili wa Rais Z’bar Azindua Mikopo ya Boti za Uvuvi ya NMB

*Pia, NMB yakabidhi vifyaa vya kuezekea madarasa vya Mil. 22/- MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla,...

READ MORE

Haji Manara Na Zaiylissa Watangaza Kuisimamisha Dunia – “Baada Ya Uchumba Ni Ndoa”..

Mwanadada anayefanya poa kwenye tamthiliya ya Jua Kali, Zaylissah amewaambia waandishi wa habari kwamba Haji Manara atamvalisha pete ya uchumba...

READ MORE

Rais Samia Avalishwa Nishani ya Mapinduzi ya Viongozi wenye sifa za Kipekee (Order of Praise)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amevalishwa Nishani ya Mapinduzi ya Viongozi wenye sifa za...

READ MORE

Wild Spin Kasino Mibonasi Kama Yote

Kila mtu amekuwa akiwa kupambana na maisha, vijana wengi wanawake kwa wanaume wako busy na harakati za mjini, kuna wengine ni wazee wa mishemishe yote…

READ MORE

Rais Dkt.Mwinyi Akutana Na Mwenezi Makonda Ikulu Zanzibar

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Katibu...

READ MORE

Ndejembi Akerwa Na Kasi Ndogo Ya Ujenzi Wa Shule Ya Wasichana Iringa

NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Deogratius Ndejembi amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kuhakikisha anamsimamia Mhandisi wa ujenzi...

READ MORE

Rais Samia Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa DART

Rais Samia ametengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Kasi (DART), Dkt. Edwin P. Mhede huku taarifa...

READ MORE

Yanga: Tutarudi Tukiwa Imara, Ally Kamwe Afunguka Mazito

BAADA ya kufungashiwa virago kwenye Kombe la Mapinduzi 2024, uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa utarejea kwa wakati mwingine ukiwa...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Alhamisi, Januari 11, 2024

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 11, 2024 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Part 2: Abdi Banda Afunguka Kuvunjika Kwa Ndoa Yake Na Zabibu Kiba -Migogoro Ya Mapenzi Na Maisha Ya Mbali.

Baada ya kukiri kuwa ndoa yake na Zabibu Kiba (dada wa Alikiba), imevunjika, Global TV imembana Abdi Banda kuweka wazi...

READ MORE

Ni Madrid Derby Hapa Real Madrid Pale Atletico Madrid Moto Utawaka

Usiku wa leo moto utawaka katika dimba la Al-Awwal nchini Saudia Arabia ambapo itapigwa derby ya Madrid ambapo klabu ya...

READ MORE

Rejesha 10% ya Pesa Yako Ukipoteza Mchezo wa Kasino

Huu ni mwaka wa hela tu ukiwa na Meridianbet basi umechagua kushinda kila siku, Cheza Kasino ya Mtandaoni bila hofu...

READ MORE

Rais Samia Aridhia Utekelezaji Mradi wa Maji Wa Ziwa Victoria Kufikishwa Ushetu

Na Mathias Canal, Ushetu-Kahama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameridhia kuanza kwa utekelezaji...

READ MORE

CMSA Yafika Zanzibar Kutoa Elimu ya Uwekezaji

KATIKA kuadhimisha Sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar Mamlaka ya Masoko ya Mitaji ya dhamana  (CMSA) imetinga visiwani...

READ MORE

Rais Samia Afungua Hospitali Ya Mkoa Lumumba -Mjini Magharibi, Z’bar (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Hospitali ya Mkoa ya Lumumba ya Mjini Magharibi visiwani...

READ MORE

Benchikha Amvuta Mbadala Wa Chama Simba raia wa Gambia

KOCHA Mkuu wa Simba, Mualgeria, Abdelhak Benchikha, amewasilisha jina la kiungo wa zamani wa Paide Linnameeskond ya nchini Estonia, Babou...

READ MORE

Pombe Kali za Bei Rahisi Zamkera Mbunge Shigongo Buchosa

Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo amekemea matumizi mabaya ya  pombe yanayofanywa na baadhi ya vijana wa jimbo hilo...

READ MORE

Chelsea Wamerudi Kwenye Ubora Wao? Washinda michezo mitatu mfululizo

Swali pekee na la msingi ambalo wapenzi wa soka ni kua kama klabu ya Chelsea ndio imerejea kwenye ubora wake...

READ MORE

Mahakama ya katiba DRC yathibitisha ushindi kwa Rais Felix Tshisekedi

Tshisekedi alipata asilimia 73.47 ya kura wakati wa uchaguzi wa Desemba 20 mahakama ya katiba DRC imesema. Mahakama ya katiba...

READ MORE