×

Simbachawene: Kama 5-1 Imetokana Na Rushwa, Simba Mkaripoti Takukuru – Video

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema kama Klabu ya...

READ MORE

Azim Dewji: Zamani Ripoti Ya CAG Ilikuwa Siri

  Mfanyabiashara maarufu nchini, Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kuruhusu mjadala wa...

READ MORE

Watu 11 Kizimbani Kigoma Kwa Uhujumu Uchumi

Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Igunga mkoani Tabora Athuman Msabila na wenzake 10 wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya...

READ MORE

Chama cha Wanasheria wa Tanganyika Kumsaidia Aliyefungwa Miaka 22 Kisa Nyama Ya Swala

CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa wameanzisha kampeni ya kumsaidia kisheria mjane Maria Emirio Ngoda aliyehukumiwa na...

READ MORE

TET Na Korea Kusini Wasaini Mkataba wa Miaka Mitatu wa Kukuza TEHAMA Wa KLIC

WIZARA ya Elimu, Sayansi  na Tekonolojia (WyEST) kupitia Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imesaini mkataba wa hati ya makubaliano (MoU)...

READ MORE

Piga Pesa Leo Na Kesho Kupitia Mechi Za Uefa Kutoka Meridianbet

Ligi ya Mabingwa kupigwa leo hii na kesho huku kila timu ikihitaji ushindi kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kuendelea kwenye...

READ MORE

Ujenzi Wa Barabara Kidatu-Ifakara Wafikia Asilimia 82, RC Malima Atoa Maagizo Mazito

Morogoro 7 Novemba 2023: Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Mhe Adam Malima amemtaka mkandarasi anayesimamia mradi wa ujenzi wa barabara...

READ MORE

Sababu 3 Kipigo cha Simba Dhidi ya Yanga Zatajwa Uwanja wa Mkapa… Soma Hapa

SIMBA SC, juzi Jumapili ilikubali kipigo cha mabao 5-1 dhidi ya Yanga, katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja...

READ MORE

Serikali Yawataka Wananchi Kuondoka Mita 60 Katika kingo za mito, fukwe za bahari na Maziwa – Video

 Serikali imewataka wananchi kuacha kufanya shughuli za kibinadamu ndani ya eneo la mita 60 katika kingo za mito, fukwe...

READ MORE

Meridianbet Yaja na Wolf Land Hold and Win!!

Mbele yako kuna mchezo mwingine wa kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet ambapo inakusafirisha mpaka Marekani. Mara hii, unapata nafasi ya...

READ MORE

Simba Yavunja Mkataba Na Kocha Robertinho, Seleman Matola Atapewa Mikoba

Klabu ya Simba Sc imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kocha wao raia wa Brazil, Roberto Oliviera (Robertinho) siku ya...

READ MORE

Shot in the Arm for Tourism as International Hospitality Group Inks a Management Deal with Nairobi Safari Club

On the eve of its 40th anniversary, the Nairobi Safari Club has signed a management partnership deal with global hotel...

READ MORE

Mama Ntilie Na Mteja Wake Wakutwa Wamefariki Wakiwa Watupu, Jirani Asimulia – Video

Hali ya taharuki imeibuka mkoani Iringa mara baada ya mama ntilie na mteja wake wa kiume kukutwa wamefariki wakiwa watupu....

READ MORE

Kocha wa Yanga Miguel Gamondi Afichua Siri Ya 5-1 dhidi ya Simba

MARA baada ya kupata ushindi wa mabao 5-1, Kocha Mkuu wa Yanga, Muargentina, Miguel Gamondi, ameibuka na kutaja siri tatu...

READ MORE

Ujenzi Wa Ukuta Wa Bahari Nungwi Wanukia, Waziri Afunguka

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Khamis Hamza Khamis amesema Serikali inatarajia kuanza tathmini ya ujenzi...

READ MORE

Mzee Wa Miaka 55 Ampa Ujauzito Mjukuu Wake Wa Miaka 13 – Video

 Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Casto Thomas (55), Mkazi wa Lumba Chini Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro...

READ MORE

Wildfire Wins: Sloti Yenye Kuwaka Moto, Ushindi mara 10,000

Kipindi hiki cha kukaribia Msimu wa sikukuu unaweza kujikusanyia mavuno mengi kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, hili ni shamba...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumanne, Novemba 7, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Nov 4 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

NMB Yaingia Makubaliano Kuwezesha Mashirikiano Baina ya Sekta za Serikali na Sekta Binafsi Zanzibar

Benki ya NMB imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na Idara ya Mashirikiano baina ya Sekta za Serikali na Sekta Binafsi...

READ MORE

TADB Yajivunia Faida Ya Bilioni 4.88 Kabla Ya Kodi Robo Ya Tatu Ya Mwaka 2023

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka imefanikiwa kupata faida shilingi bilioni...

READ MORE