×

MSD Yakabidhi Vifaa Vya Mil 900 Ifakara

SERIKALI kupitia Bohari ya Dawa (MSD), imekabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya sh milioni 900 kwa Halmashauri ya Ifakara mji....

READ MORE

Profesa Jay Aachia Siku 462 Kuelezea Mateso Aliyoyapata Tangu Aanze Kuumwa

Siku 462 ndiyo habari ya mjini! Huu ni wimbo mpya wa @professorjaytz ambao ameuachia rasmi leo, Novemba 6, 2023 akielezea safari yake...

READ MORE

Mwigulu Lameck Nchemba: Serikali Inatarajia Kukusanya Na Kutumia Jumla Ya Shilingi Tilioni 47.424 Katika Mwaka 2024/2025

Waziri wa Fedha Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amesema kuwa Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya shilingi tilioni 47.424 katika...

READ MORE

Haya Hapa Malengo Saba ya Mpango Wa Maendeleo Ya Taifa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo leo amewasilisha bungeni mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo...

READ MORE

Ukifanya Jambo Hili Moja Tu, Basi Utapandishwa Cheo Kazini Kwako Haraka

Kila mmoja anapenda kuona maisha yake yanapiga hatua kila siku, hakuna mtu ambaye hapendi kuona maendeleo yake binafsi ingawa vikwazo...

READ MORE

Sloti ya Wild 27 Kasino ya Mtandaoni

Kama unapenda sloti za matunda, basi chaguo lako limepata kiburudisho chenye hisia kali kiasi kwamba huwezi kusubiri kupoteza hata dakika...

READ MORE

Diamond Platnumz Ashinda Tuzo za MTV EMA Kipengele Cha Best African Act.

Msanii wa Diamond Platnumz usiku wa kuamkia leo amewatoa kimasomaso Watanzania baada ya kuibuka mshindi katika Tuzo za MTV EMA...

READ MORE

Maelfu waandamana mjini London kuunga mkono Wapalestina.

Maelfu ya waandamanaji wamefurika jijini London nchini Uingereza Jumamosi iliyopita, wakitaka Israel isitishe mashambulizi katika Ukanda wa Gaza. Maandamano hayo...

READ MORE

Parimatch, Tigo Pesa Wazindua Promosheni Mpya ya ‘VIBUNDA SPESHO’

  Kampuni ya Michezo ya Kubashiri Parimatch kwa kushirikiana na Mtandao wa Tigo Pesa leo inazindua rasmi promosheni yake mpya...

READ MORE

Mradi wa KLIC Kusaidia Wanafunzi wa Shule za Msingi Katika Matumizi ya TEHAMA

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Dkt. Aneth Komba amesema kuwa, ujio wa mradi wa “Korea e- learning...

READ MORE

NBC Yafurahia Derby ya Karikakoo na Wateja, Yatambulisha Kampeni Maalum

Benki ya NBC Yafurahia Derby ya Karikakoo na Wateja, Yatambulisha Kampeni Maalum Kujivunia Mafanikio. [Dar es Salaam; Novemba 6, 2023]...

READ MORE

Rais Samia Suluhu Hassan akabidhi nyumba kwa Mama Janeth Magufuli.

Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi nyumba kwa Mama Janeth Magufuli, mjane wa hayati Dk. John Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tanzania....

READ MORE

JUMAPILI HII MIKWANJA IPO MERIDIAN TU

Najua unajua lakini nakujuza tena  sehemu pekee ambayo unaweza kuchukua maokoto yako kirahisi ni Meridianbet ambapo wameweka ODDS KUBWA katika...

READ MORE

GGML Yang’ara Usiku wa Madini, Yakomba Tuzo 2

  Mchango wa Kampuni ya AngloGold Ashanti – Geita Gold Mining Limited (GGML) umeendelea kutambuliwa na wadau mbalimbali wa sekta...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko Akutana na Mkurugenzi Mkuu PSSS

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Bideko, amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya...

READ MORE

Kamanda Muliro Atoa Tahadhari Ya Kiusalama Mchezo wa Soka Kati ya Simba na Yanga Leo

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatambua kuwa leo Jumapili, Novemba 05, 2023 kwenye Uwanja wa Benjamini...

READ MORE

Whozu,Billnass Na Mbosso Wafungiwa Na Kupigwa Faini, Nyimbo Yao ‘Ameyatimba’.

Kufuatia tamko la kufungiwa na kulipishwa faini kwa wasanii watatu, Whozu, Mbosso na Bilnass lililotolewa na Baraza la Sanaa Tanzania...

READ MORE

Dkt Abbasi Aongoza Mapokezi Ya Watalii 150 Kutoka Marekani

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi ameongoza mapokezi ya watalii maalum zaidi ya 150 kutoka Taifa...

READ MORE

Rais Samia Suluhu Hassan Atoa Billioni 110 Kwa Chuo Cha UDSM

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimebainisha kuwa kimejizatiti kikamilifu kusimamia utekelezaji wa Mradi wa Mageuzi ya Kiuchumi Katika...

READ MORE

TADB Na Wizara Ya Mifugo Na Uvuvi Watoa Bilioni 1.2 Kusaidia Mradi Wa Uvuvi Tanga

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi leo imekabidhi jumla ya boti...

READ MORE