×

#Exclusive: Halima Mdee Afunguka A-Z Ukimya Wake, Agusia Ishu Ya Mbowe Na Tundu Lissu Kisa Makonda!

MBUNGE wa Viti Maalum (Chadema) Halima Mdee amefanya mahojiano na Global TV Online na amefunguka A-Z ukimya wake, Agusia ishu...

READ MORE

Paul Makonda Atembelea Mradi wa Ujenzi wa CCM wa nyumba 6 Jijini Mwanza

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda ametembelea Mradi wa Ujenzi wa CCM wa...

READ MORE

Picha: Taifa Stars Yaondoka kwenda Morocco Kukiwasha na Niger mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia

Timu ya Taifa Tanzania “Taifa Stars” imeondoka leo Novemba 16, 2023 kwenda Morocco kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia...

READ MORE

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini Aagiza Miradi Ikamilike Kabla ya Desemba 2023

ATAKA WAKANDARASI KUHAKIKISHA UBORA NA WELEDI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini, Balozi Meja Jenerali Mstaafu...

READ MORE

Mr Eazi Aachia Albamu Yake ya Kwanza, ‘The Evil Genius’ Akiwashirikisha Mastaa Kibao

Staa wa Afropop, Mr Eazi ameachia albamu yake ya kwanza inayokwenda kwa jina la ‘The Evil Genius’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa...

READ MORE

#Exclusive Video: Naira Wa Juakali Akana Kumjua Dulla Makabila -“Simjui, Dada Yake Sijawahi Kumuita Wifi”

Msanii wa Tamthiliya ya Jua Kali, Zaynabu Said @zaylisa ametoa kali baada ya kudai kuwa eti hamfahamu aliyekuwa mumewe, Dulla...

READ MORE

Kishindo cha Afro B Katika Wo Wo Wo Akiwa na Rich The Kid na Rimzee

STAA ambaye alitambulishwa na ngoma maarufu, Afrowave ‘Drogba’, Afro B, ameachia video yake mpya ya kibao “Wo Wo Wo (Ebony)”...

READ MORE

Ishu Ya Adel Kocha wa Viungo Kutua Simba Ipo Hivi

WAKATI tetesi zikieleza kuwa, jina la Adel Zrane aliyewahi kuwa kocha wa viungo wa Simba lipo mezani klabuni hapo, bosi...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Alhamisi, Novemba 16, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Nov 16, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Afungua Mkutano Wa Wa Pili Wa Kisayansi Wa Afya Ya Uzazi Na Mtoto Ukumbi Wa Mikutano Wa Julius Nyerere Jijini Dar

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amefungua Mkutano wa Pili...

READ MORE

Mradi Wa Bomba La Mafuta Kutoka Hoima Nchini Uganda Hadi Chongoleani Tanga Ni Muhimu Kwa Watanzania

MWENYEKITI wa Kamati ya kudumu ya Nishati na Madini ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt David Mathayo...

READ MORE

Tigo Yatoa Zaidi Ya Milioni 300 Kwa Mawakala Wake, Mchakato Unaendelea Nchi Nzima

Dar es Salaam 16 Novemba 2023: Mawakala wa Kampuni ya mtandao wa simu za mkononi wa Tigo wanaotoa huduma za...

READ MORE

Messi, Ronaldo, Nani Mbabe wa Kuamua Mechi Uwanjani?

Wakati kukiwa bado kuna mjadala unaoendelea juu ya nani alistahili kutwaa Ballon D’or ya mwaka huu 2023, kuna baadhi wanasema...

READ MORE

Serikali Yaipa REA Bil 170 Utekelezaji Miradi ya Umeme Mtwara

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt Dotto Biteko amesema serikali imetoa BILIONI 170 kwa ajili ya utelekezaji wa...

READ MORE

Vodacom Yaendesha Droo ya Kwanza ya Sambaza Shangwe, Gusa Maisha

Kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom, leo imeendesha droo yake ya kwanza ya Kampeni ya Sambaza Shangwe, Gusa Maisha...

READ MORE

Wadau Wa Haki Za Watoto Waungana Kutetea Haki Za Watoto Wenye Jinsi Tata

Dar es Salaam 15 Novemba 2023: Muungano wa mashirika yanayotetea haki za watoto wenye changamoto za Via vya Uzazi na...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa: WCF ipo, Utaishi Vizuri na Utatunza Familia Yako”

  WAZIRI Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amemuhakikishia Mnufaika wa Fidia inayotolewa na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Bi. Halima...

READ MORE

Rais wa Jamhuri ya Romania, Klaus Iohannis Kufanya Ziara ya Kitaifa nchini

Rais wa Jamhuri ya Romania, Klaus Iohannis, atafanya Ziara ya Kitaifa nchini kuanzia tarehe 16 hadi 19 Novemba 2023 kwa...

READ MORE

Makonda: CCM Yaelekeza Pikipiki Zilizokamatwa Silali Zirudishwe Na Kukiwa Na Mali Zitozwe Kodi

Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda akizungumza kwenye mkutano wa hadhara na Wananchi...

READ MORE

Winga AS Vita Mlangoni Yanga Kumuondoa Moloko na Skudu Makudubela

IMEFAHAMIKA kuwa, Yanga wameifuata Klabu ya AS Vita ya DR Congo, kwa ajili ya mazungumzo ya awali kwa ajili ya...

READ MORE