×

Uwanja Wa Ndege JNIA Terminal 2 Kufungwa Kwa Muda Kupisha Maboresho 2024

Naibu waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amesema Uongozi wa uwanja wa ndege wa kimataiafa wa Julius Nyerere – Terminal 2...

READ MORE

Waziri Jenista Atembelea Banda la NSSF Katika Maonesho ya Wiki ya Vijana

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. Jenista Mhagama ametembelea banda la NSSF wakati wa...

READ MORE

Kocha wa Simba Atamba Kupiga Wote Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’,  amefunguka kuwa, amefuatilia  timu anazokutana nazo kwenye hatua ya makundi ya Ligi...

READ MORE

Mzozo wa Israel na Palestina: Idadi ya Waisraeli waliouawa yafikia 1200

Idadi ya vifo nchini Israel imeongezeka hadi 1200, shirika la utangazaji la umma la Kan limesema. Waathirika walikuwa raia, iliongeza....

READ MORE

UWT Dar, Waanza Safari Ya Kwenda Dodoma Kumpokea Katibu Mkuu Jokate Mwegelo

Dar es Salaam 11 Oktoba 2023: Wanawake kutoka makundi na sehemu mbalimbali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) jijini Dar, jana...

READ MORE

Taarifa Mpya Ya Warda Aliyepotea Kwa Mkuu Wa Shule, Mazito Yaibuka, Mama Akata Tamaa – Video

Sakata la binti mdogo, Warda Mohammed (16), mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyumbu, Kibaha kupotea tangu April 19, 2023 bado...

READ MORE

Rais Biden asema Marekani iko pamoja na Israeli – Video

Rais Joe Biden alisema Jumanne kuwa “ wako pamoja na Israeli,” wakati Washington ikijaribu kupunguza mivutano Mashariki ya Kati baada...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatano, Oktoba 11, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 11, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Benki ya NBC, Jubilee Allianz Kutoa Huduma za Bima Kupitia Vituo vya Total Energies

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa ushirikiano na Kampuni ya Bima Jubilee Allianz wamezindua kampeni maalum inayofahamika kama ‘Bima...

READ MORE

Mtanzania atunukiwa tuzo ya heshima ya malkia Elizabeth II

Mtanzania Prudencia Paul Kimiti ametunukiwa tuzo ya heshima ya malkia Elizabeth II kutokana na mchango wake mkubwa katika masuala ya...

READ MORE

Hospitali Ya Mloganzila Kuongeza Shepu Na Matiti

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza nchini itafanya huduma za kibingwa bobezi za upasuaji wa kupunguza uzito na...

READ MORE

Ujio wa Gemu Mpya Meridianbet Mkombozi wa Maisha

Expanse Studios iko tayari kuandika historia huko G2E Las Vegas, ambayo ni Roma ya sasa kwenye ulimwengu wa iGaming, ili...

READ MORE

Benki ya NBC Yasafirisha Wafanyabiashara Kwenda China

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kupitia klabu yake ya biashara ijulikanayo kama NBC B-Club imeratibu safari ya wafanyabiashara 10...

READ MORE

Davido na Mkewe Chioma Wapata Watoto Pacha

Staa wa Afropop kutoka nchini Nigeria, Davido na mkewe Chioma wamepata watoto pacha jana Jumatatu majira ya saa tatu usiku....

READ MORE

Mwakinyo Afungiwa Mwaka Mmoja na Kamisheni ya ngumi Nchini

Kamisheni ya ngumi za kulipwa Nchini (TPBRC) kupitia Kamati yake ya Nidhamu imetangaza kumfungia Bondia Hassan Mwakinyo kwa kipindi cha...

READ MORE

Pelekeni Taa Uwanja Wa Ndege Arusha Na Iringa Na Maeneo Ya Kiutalii

Naibu Waziri Uchukuzi, David Kihenzile ameitaka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kupeleka taa za kuongoza ndege katika maeneo...

READ MORE

Eden Hazard Atangaza Kustaafu Soka Akiwa Na Umri Wa Miaka 32.

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Lile, Chelsea na Real Madrid, Eden Hazard ametangaza kustaafu kucheza soka akiwa na umri...

READ MORE

DC Mgomi Akabidhi Mashine ya Kutolea Photocopy Shule ya Sekondari Shinji

Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi amekabidhi Mashine ya Photocopy katika Shule ya Sekondari Shinji ambayo imetolewa na Kampuni...

READ MORE

Chongolo Atinga Bandari ya Kasanga Kuona Upanuzi wa Bandari hiyo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Godfrey Chongolo akimsikiliza Rodriguez Valentin ambae ni Afisa katika Bandari ya...

READ MORE