×

Dk. Kikwete kuwaaga wapanda mlima 61 Kampeni ya GGML KiliChallenge-2023

RAIS mstaafu Dk. Jakaya Kikwete kesho Ijumaa tarehe 14 Julai 2023 anatarajiwa kuwaaga jumla ya washiriki 61 watakaopanda mlima Kilimanjaro...

READ MORE

Wamiliki wa Magari Kenya Waingia Tanzania Kununua Mafuta ya Bei Rahisi

Maelfu ya wamiliki wa magari pamoja na waendesha boda boda katika mji wa mpakani wa Namanga wanaendelea kuingia nchini Tanzania...

READ MORE

Kitasa Kipya Yanga Chachota Sh 200Mil, Aucho Ahusika Usajili Wake

IMEELEZWA kuwa Yanga imetumia dau la Sh 200Mil kufanikisha usajili wa beki wa kati ya Timu ya Taifa ya Uganda...

READ MORE

Yanga Yamtangaza Kocha Msaidizi Moussa Ndao raia wa Senegal

Ni Rasmi sasa, Uongozi wa Yanga umemtangaza Kocha msaidizi ambaye ni Moussa Ndao raia wa Senegal kuchukua nafasi ya Cedrick...

READ MORE

Mkuu wa Polisi nchini Kenya Apiga Marufuku Maandamano ya Upinzani

Mkuu wa polisi nchini Kenya amepiga marufuku wafuasi wa upinzani kuitisha maandamano haramu leo Jumatano kufuatia wimbi la hasira juu...

READ MORE

Mdada Apagawishwa Baada Kukabidhiwa Milioni 5 Ya Chawote

Dar es Salaam 12 Julai 2023: Kampuni ya Tigo Tanzania imetoa kiasi cha shilingi milioni 5 kwa mshindi wa mwezi...

READ MORE

Vodacom Yatoa Tuzo Ikitimiza Miaka 11 Bila Vifo Kazini Ikitumia Ubunifu

Kampuni ya Teknolojia na Mawasiliano, Vodacom Tanzania PLC imewapongeza kwa kuwapatia tuzo mbalimbali washirika na watoa huduma wake kwa kuzingatia...

READ MORE

Utambulisho Wa Ngoma Simba Sapraiz Kubwa

IMEBAINIKA kuwa uongozi wa Klabu ya Simba umepanga kumtambulisha kiungo wao mpya, Fabrice Ngoma kama mchezaji wa mwisho kutokana na...

READ MORE

SGA Yaendelea Kulinda Hadhi Yake Ya Ubora Unaotambulika Kimataifa

KAMPUNI ya ulinzi ya SGA Security imeendelea kulinda hadi yake ya inayotambulika kimataifa katika kutoa huduma za ulinzi hapa nchini....

READ MORE

Bilionea Ned Nwoko Amwalika Mkewe Ofisini Kwake

Mwigizaji wa Nollywood, Nchini Nigeria, Regina Daniels, ameelezea furaha yake baada ya kualikwa kwenye mwaliko maalum kwenye nyumba ya Seneti...

READ MORE

Sitasahau Jinsi Nilivyokimbiwa na Wake Zangu Mara Mbili Kisa Sina Nguvu za Kiume

  Mimi ni mwanaume ambaye namheshimu na kumjali mwanamke yoyote katika dunia hii, naheshimu sana jinsia ya kike kwa sababu...

READ MORE

Kisa Majembe Mapya… Moses Phiri Atoa Tamko Zito Simba

USAJILI mzito ambao unaendelea kufanywa na mabosi wa Simba umemuibua staa wa timu hiyo Mzambia, Moses Phiri ambaye ameweka wazi...

READ MORE

Mapenzi Yanatesa, Usimcheke Anayelia!

KWENYE ulimwengu wa mapenzi kuna baadhi ya watu wamewahi kupagawa. Wengine wakakatisha uhai wao au wa wenza wao au wote....

READ MORE

Gamondi Aifumua Yanga Nje Ndani Azungumza Kuelekea Msimu Mpya

KOCHA mpya wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa malengo yake ni kuhakikisha kuwa anawatengeneza wachezaji wake kuweza kucheza zaidi ya...

READ MORE

RC Chalamila Awataka Wananchi Kuheshimu Taaluma Ya Udaktari

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Albert Chalamila amezindua kampeni ya utoaji wa huduma za afya bure(Afya check)...

READ MORE

Vyakula Vya Kuepuka Unapopunguza Unene

HIVI karibuni Shirika la Afya Duniani (WHO), limeonya kuhusu ongezeko la watu wenye unene wa kupitiliza huku wakitaja hiyo kuwa...

READ MORE

App ya Threads Yapata Zaidi ya Watumizi Milioni 500 Tangu Kuzinduliwa Kwake

App mpya ya Threads kutoka kampuni inayomiliki Facebook ya Meta na ambayo inashindana na Twitter imepata zaidi ya watumiaji milioni...

READ MORE

Yanga: Usajili Wa Simba Haututishi, Ally Kamwe Afunguka Kushusha ‘Chuma’

USAJILI ambao unazidi kufanywa na Simba umewaibu Yanga huku wao wakiweka wazi kuwa wala hawatishiki, badala yake wao wanajikita zaidi...

READ MORE

Duchu Asaini Kuitumikia Simba Mpaka 2026

Mlinzi wa kulia, David Kameta ‘Duchu’ amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu wa kuendelea kuwatumikia Wekundu wa Msimbazi, Simba SC...

READ MORE