×

Moi Yatoa Tamko, Aliye Kiss na Mgonjwa Sio Mtumishi wa Moi, Aomba Radhi – Video

Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu uvunjifu wa maadili uliyofanywa na mgonwa (jina...

READ MORE

Rais wa Iran Ebrahim Raisi kutembelea nchi tatu za Afrika

Rais wa Iran Ebrahim Raisi ataanza ziara nadra ya nchi tatu za Afrika ikiwa ni hatua mpya ya kidiplomasia ya...

READ MORE

Mainstream Media Yapongezwa Kwa Uwekezaji Kigoma

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji Bi. Mwantum Mgonja ameipongeza Kampuni ya Mainstream Media Limited kwa uwekezaji mkubwa...

READ MORE

wataalamu wa Afya nchini watakiwa kupunguza semina, ili kuhudumia wananchi

Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu  amewataka wataalamu wa afya nchini kupunguza semina ili kuwa na muda zaidi wa kutoa...

READ MORE

Halotel Yabadili Nembo Yake, Yaahidi Huduma Bora

Katika kuboresha huduma zake za interneti nchini, kampuni ya Halotel imedhamiria kufanya maboresho zaidi katika kupanua wigo kwa wateja wake...

READ MORE

Makalla amtaka mkandarasi kuikabidhi MV Mwanza Agosti

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza  CPA Amos Makalla ameitaka Kampuni ya Gas Entec ya Korea Kusini kukamilisha Ujenzi wa Meli...

READ MORE

Mchungaji Mgogo kuwafunda wana-Ndoa Mwanza

MCHANGAJI maarufu hapa nchini Daniel Mgogo anatarajia kuwafunda wanandoa na washiriki wa Mwanza Couple Night Gala kwa lengo la kuimarisha...

READ MORE

Kongamano La Kupima Na Kutibu Afya Ya Akili Kufanyika Uwanja Wa Uhuru Kesho

Dar es Salaam, 10 Julai 2023: Asasi ya Vibes Foundatin kwa kushirikiana na wabobezi wa matibabu ya afya ya akili...

READ MORE

Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Amvua Madaraka Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Kivule

Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam Jomari Satura, ameamua kumvua madaraka Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya Kivule kutokana...

READ MORE

Putin Kuhudhuria Mkutano wa BRICS Nchini Afrika Kusini

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema Jumapili kuwa mkutano wa kilele wa mwezi ujao wa BRICS, ambao Vladimir Putin...

READ MORE

Rais Samia Aitamani JKT ya Kisasa, Asema Serikali Iko tayari Kusimama nao na Kuwadhamini kwa Kuwapa Mikopo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hii leo ametinga na mavazi ya kijeshi alipokuwa akiwasili kwenye maadhimisho ya Miaka...

READ MORE

Mshindi wa Simu kutoka Chota Mapene Akabidhiwa Zawadi yake

Ernest Moshiro kutoka Same Kilimanjaro ni miongoni mwa walio pata bahati ya kujishindia zawadi kutoka chota mapene ameendoka na simu...

READ MORE

Rais Samia Atinga na Kombati ya Jeshi kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya JKT- Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hii leo ametinga na mavazi ya kijeshi alipokuwa akiwasili kwenye maadhimisho ya Miaka...

READ MORE

Yanga Walamba Kitita cha Milioni 405 kutoka kwa Mdhamini wao Mkuu, SportPesa

Rasmi Young Africans SC imepokea Hundi ya TZS 405,000,000/= (milioni mia nne na tano) kutoka kwa mdhamini mkuu wa Klabu @tzsportpesa kama...

READ MORE

Rais Joe Biden atua Nchini Uingereza, Akitarajiwa Kufanya Ziara ya Siku Tano barani Ulaya

Rais wa Marekani Joe Biden aliwasili mjini London Jumapili kwa ziara ya siku tano barani Ulaya, akianzia Uingereza. Kisha atasafiri...

READ MORE

Wahamiaji Takribani 300 Wapotea Baharini wakitokea Senegal kuelekea Uhispania

Takriban watu 300 waliokuwa wakisafiri kwa boti tatu za wahamiaji kutoka Senegal kwenda visiwa vya Canary nchini Uhispania hawajulikani walipo,...

READ MORE

Matatizo Yanayomfanya Mwanamke Asipate Ujauzito Haraka

KWA kawaida mwanamke anatakiwa apate ujauzito ndani ya mwaka mmoja baada tu ya kuolewa au kuanza uhusiano. Tunategemea baada ya...

READ MORE

Rais Ali Bongo Atangaza Kuwania Urais kwa Muhula wa tatu

Rais wa Gabon Ali Bongo Ondimba amekaidi hofu za wapigakura baada ya miaka kadhaa kuwa katika kivuli cha baba yake...

READ MORE

Milipuko ya Mabomu Yaua Takribani watu 8 huko Syria

Mabomu ya ndani ya gari yamewaua watu wasiopungua wanane wakiwemo watoto watatu katika matukio mawili tofauti siku ya Jumapili kaskazini...

READ MORE

JE, WEWE NDIE KIJANA AFUATAE MWENYE BAHATI ZAIDI NCHINI TANZANIA?

Premier Bet wanayo furaha kumtambulisha Bwana Jacob Mkungilwa, kwa mara nyingine tena baada ya kujishindia Milioni 118 katika mchezo wa...

READ MORE