×

Nani Kulia au Kucheka Ligi ya Mabingwa? Chelsea vs Madrid, Bayern vs Man City

Wahenga waliwahi kusema Usiku wa deni hauchelewi, ni sasa kule kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kitaeleweka nani mbambe dhidi ya...

READ MORE

Meli Kubwa ya Kitalii ya Seaborn Yawasili Dar Ikiwa na Watalii 715 Wa Royal Tour

Moja ya Meli kubwa za kifahari duniani, Seabaorn Sojourn iliyotengenezwa Genoa, Italia, imetua leo Dar es Salaam hii ikitokea visiwa...

READ MORE

Mwenyekiti UVCCM Awataka Vijana Kuchangamkia Fursa ya Kilimo cha Kisasa

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Taifa Mohamed Kawaida amewataka vijana nchini kutokidharau kilimo na badala yake wakikumbatie na kuiona...

READ MORE

NHC Yaanza Ujenzi wa Mradi wa Zaidi la Bilioni Moja Kahama Mkoani Shinyanga

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limekabidhi kwa Mkandarasi wa Shirika eneo kunapoanza kujengwa majengo ya kitega uchumi yakiwamo maduka,...

READ MORE

Vodacom Yazindua Programu Maalumu Ya Tuzo Kwa Mawakala Wa Mauzo, Kuwapeleka Afrika Kusini

Dar es Salaam – Aprili 13, 2023. Kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Vodacom Tanzania imezindua programu maalumu ya tuzo...

READ MORE

Tigo Wafuturisha Mawakala Na Wateja Wake Wilaya Ya Temeke

Dar es Salaam: Kampuni namba moja nchini katika utoaji wa huduma za Kidigitali Tigo, leo Jumatatu ya Aprili, 17 imefuturisha...

READ MORE

Vodacom Yaondoa Tozo Kutuma Na Kutoa Pesa Kupitia Kampeni Yake Ya Zaidi Ya Mtandao

Dar es Salaam – Aprili 13, 2023. Katika jitihada za kuhakikisha jamii za Watanzania zinaendelea kunufaika na huduma bora za...

READ MORE

Vodacom Yaunga Mkono Kampeni Ya Chanjo, Yatoa Msaada Wa Mil. 690/= Sekta Ya Afya

Dar es Salaam 17 Machi 2022: Wizara ya Afya na Vodacom Tanzania wamekabidhi vyumba vipya 6 baridi ambavyo vitatumika kuhifadhia chanjo....

READ MORE

Umoja wa Afrika Wakutana Kujadili Hali ya Kisiasa na Usalama Nchini Sudan

Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika limeitisha kikao cha dharura hii leo kujadiliana hali ya kisiasa na...

READ MORE

Simba Waitambia Yanga Kwa Mkapa… Robertinho Aibuka Mbabe – Video

SISI siyo levo zenu! Hiyo ndiyo kauli pekee ambayo walikuwa wanaitoa mashabiki wa Simba baada ya kikosi chao jana Jumapili...

READ MORE

Wakazi wa Czech waandamana mjini Prague, kulalamikia ugumu wa maisha

Maelfu ya waandamanaji Jumapili walikusanyika mji mkuu wa Czech wa Prague, wakilalamikia kuongezeka kwa mfumuko wa bei na hivyo kuitaka...

READ MORE

Qatar Airways Yasitisha Safari zake Sudan Baada ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khartoum Kufungwa

Shirika la ndege la Qatar limetangaza kusitisha safari zake za kuelekea Sudan kutokana na kufungwa kwa uwanja wa ndege wa...

READ MORE

Askofu Maboya, Mgogo na Hananja Wanogesha Kongamano La Uamsho Wa Ndoa Mlima wa Moto  

  ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Mlima wa Moto, Mikocheni jijini Dar es Salaam, Bishop Rose Mgeta amesema Kanisa hilo...

READ MORE

Kampeni ya Upandaji Miti yawa Kivutio Iftar ya NMB Bungeni

Kampeni ya Benki ya NMB ya kuongeza miti milioni moja katika ajenda ya serikali ya kuyatunza mazingira na kupambana na...

READ MORE

Washindi 12 Wajizolea Zawadi nono na ‘NMB Bonge la Mpango’

Droo ya kwanza ya msimu wa tatu wa Kampeni ya Weka Akiba na Ushinde iitwayo  ‘NMB Bonge la Mpango –...

READ MORE

Kampuni Ya The Squid Zanzibar Limited Yaanza Mkakati Wa Masoko Kuvutia Wawekezaji

Aprili 2023 –Kampuni ya biashara ya majengo, The Squid Zanzibar Limited, imeanza mkakati wa masoko ili kuvutia wawekezaji wa kitaasisi...

READ MORE

Sekta Ya Makaa Ya Mawe Yatakiwa Kuzingatia Sheria na Miongozo ya Usalama na Afya

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umetoa wito kwa wawekezaji na waajari wa sekta ya makaa ya...

READ MORE

Waziri Aweso Afanya Mabadiliko Mkurugenzi Mamlaka Ya Maji Korogwe

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amefika wilayani Korogwe mkoa wa Tanga na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Jokate...

READ MORE

Kitawaka Simba vs Yanga Uwanja wa Mkapa Leo, Mashabiki Watambiana – Video

SAA 11:00 jioni ya leo, sehemu kubwa ya Bara la Afrika itasimama kwa dakika tisini kushuhudia mchezo mkali wa Dabi...

READ MORE

Waziri wa Fedha Uganda Akamatwa kwa Madai ya Kuiba Mabati

MABATI yalitengwa kwa ajili ya makazi ya gharama nafuu huko Karamoja eneo ambalo halina maendeleo na halifuatiliwi huko kaskazini magharibi...

READ MORE