×

Video: Mzee Aliyemiliki Nyumba 5 Analala Kwenye Kontena Miaka 7, Adai Kuvunjiwa Nyumba Zake Kihuni…

GLOBAL TV imefika hadi Temeke Mkoani Dar kwenye familia ya James ambaye inadai imevunjiwa nyumba na kuachwa bila makazi….

READ MORE

Uongozi wa Yanga Watamba Kucheza robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika

UONGOZI wa Yanga, umewaambia mashabiki wa timu hiyo kwamba, wasiwe na presha yoyote kwani chama lao litacheza hatua ya robo...

READ MORE

Uchaguzi wa Nigeria 2023: Upinzani Wasusia Matokeo Yaliyoanza Kutangazwa

Vyama vya upinzani vimetoka nje ya ukumbi ambapo matokeo ya uchaguzi wa rais wa Nigeria wenye upinzani mkali yanatangazwa. Chama...

READ MORE

Mshambuliaji wa wa PSG Lionel Messi Ashinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Fifa

Mshambuliaji wa Argentina na Paris St-Germainm, Lionel Messi amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka wa wanaume kwenye Tuzo za Fifa...

READ MORE

Video: Yajue Mapito Ya Mwana-Fa Akipanda Ngazi Kwa Ngazi Hadi Kuapa Kuwa Naibu Waziri….

Februari 26, 2023 nabaki kuwa siku nyingine ya kihistoria kwa Mbunge wa Muheza mkoani Tanga, Khamis Mohamed Mwinjuma almaarufu Mwana-FA...

READ MORE

Exclusive: Mama Kanumba Amlipukia Zumaridi, Ampa Siku 7 Amrudishe Mwanaye, Amwaga Machozi… Video

KWENYE EXCLUSIVE ya IMELDA MTEMA ndani ya Global TV amefanya mahojiano maalum na mama wa Steven Kanumba ambaye ameeleza kwa...

READ MORE

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron Kufanya ziara nchi Tano Afrika

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron atazuru Afrika wiki hii katika ziara ya kukabiliana na ushawishi wa Russia unaotishia kuvuruga mikakati...

READ MORE

Nimemfumania Mume Wangu na Rafiki Yangu, Tena Katika Kitanda Changu

  Waswahili hawakukosea kusema kikulacho kiko nguoni mwako, nasema hivyo kutokana na tukio lilonikuta maisha mwangu, kamwe siwezi kusahau na...

READ MORE

Tahadhari Dhidi Ya Utapeli Wa Fursa Za Ajira Kampuni Ya Bia ya Serengeti (SBL)

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imembaini mtu asiye mwaminifu anayewalaghai wananchi kwa ujumla ili wamlipe fedha ili kupata fursa...

READ MORE

Serikali Yatangaza Tenda Ujenzi wa Barabara za Jiji la Arusha, Stendi na Masoko Vinakuja – Video

Serikali kupitia Wizara ya Rais TAMISEMI imetangaza rasmi tenda ya ujenzi wa barabara tatu za Jiji la Arusha kwa kiwango...

READ MORE

Kampuni za Kibiashara Kuwania Tuzo SDGs, Shayo Hakuna Atakayebaki Nyuma

  Shirika la UN Global Compact Network Tanzania limezindua mchakato wa kutafuta mshindi wa tuzo zitakazokuwa zinatolewa kila mwaka kwa...

READ MORE

Aweso: Watendaji Msizoee Shida za Wananchi

Waziri wa maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) amewataka watendaji kutozoea shida za Wananchi na kuhimiza uwajibikaji utakaoleta tija kwa Wananchi...

READ MORE

TCDC Yaja na Mkakati wa Kukuza Biashara Kidijitali kwenye Vyama vya Ushirika

  Kamisheni ya Maendeleo ya Ushirika hapa nchini (TCDC) imeanza kutekeleza mpango ya kubadili namna ya kuendesha vyama vya ushirika...

READ MORE

TZS 350,000,000 Kutolewa na Meridianbet na Wazdan unasubiri nini kucheza?

Haijawahi kuwa ya kuvutia kiasi hiki, zawadi za jumla ya TZS 350,000,000 kushindaniwa kwenye michezo ya sloti inayotolewa na Wazdan...

READ MORE

ORAIMO Wazindua Earbuds Mpya, FREEPOD 4, Slide Into Your World

Brand ya oraimo inayodeal na kuuza accessories nchini Tanzania, inatarajia kufanya uzinduzi wa bidhaa yake mpya FREEPOD 4, ambayo ni...

READ MORE

Watuhumiwa 2,000 wa Ujambazi wa Kutumia Silaha Wahamishwa Kwenda Gereza Jipya

  Serikali ya Salvador, imewahamisha watuhumiwa wa ujambazi wapatao 2,000 kwenda katika gereza jipya na kubwa lenye uwezo wa kuchukua...

READ MORE

Tanga Cement Yasherehekea Miaka Ishirini Ya Udhamini wa Kilimarathon

SIMBA Cement imeendelea kuwa kinara wa ufadhili wa mbio za Kilimarathoni kwa miaka 20 sasa huku ikielezwa kuwa  mbio hizo...

READ MORE

Ajali ya Boti Italia: Wahamiaji 59 Wafariki katika Pwani ya Crotone Eneo la Calabria

Takriban wahamiaji 59, wakiwemo watoto 12, wamefariki dunia na makumi ya wengine wanahofiwa kutoweka baada ya boti yao kuzama kwenye...

READ MORE

Joash Onyango Alichambua Bao La Inonga Ligi ya Mabingwa Afrika

BEKI wa kati wa Simba, Mkenya Joash Onyango amesema kuwa, bao lililofungwa na pacha wake, Henock Inonga dhidi ya Vipers...

READ MORE

Yanga Wakomaa Na Hesabu Za Robo Afrika Uwanja wa Mkapa Dar

UONGOZI wa Yanga umetamba kuwa bila kujali matokeo yao ya mchezo wa jana Jumapili dhidi ya Real Bamako, kikosi chao...

READ MORE