×

Walioguswa Na Mradi Wa Bomba La Mafuta Nkomelo Wakabidhiwa Nyumba Za Kisasa

Ilikuwa ni furaha na tabasamu kwa wanakijiji 10 wa Nkomelo wilayani Muleba mkoani Kagera baada ya kukabidhiwa nyumba zao mpya...

READ MORE

Sera Nzuri za Rais Samia Kuhusu Uwekezaji Zachangia Ongezeko Kubwa La Waajiri Kujisajili WCF: Dk. Mduma

KUMEKUWA na ongezeko kubwa la waajiri kujisajili na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) katika kipindi cha Serikali ya Awamu...

READ MORE

Hatma ya Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Yanga Kujulikana leo Kwenye Ofisi za TFF

  ILE kesi kimkataba inayomuhusisha Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Yanga, inatarajiwa kutolewa ufafanuzi leo Alhamisi kwenye ofisi za Shirikisho...

READ MORE

Harry na Meghan Waambiwa Wahame Makazi Yao ya Uingereza

  Mwanamfalme Harry na mke wake Meghan Markel wameombwa kuondoka katika makao yao Frogmore Cottage nchini Uingereza, msemaji wa wanandoa...

READ MORE

Julio: Simba Nipeni Kazi Niwaoneshe “Wenzetu Yanga, Wanafanikiwa Sana”

KOCHA na mchezaji wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameutaka uongozi wa Simba kuwaamini wachezaji wao wa zamani akiwemo...

READ MORE

Yanga Yatamba Kuwapiga Mvua ya Mabao Real Bamako ya Mali Kwa Mkapa

RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said amesema baada ya kubanwa na wenyeji wao, Real Bamako ya Mali kwenye mchezo wa...

READ MORE

Video: Lema Akoshwa Na Rais Samia Kuwapungia Mkono Chadema Kwenye Mapokezi Yake – “Hatuwafundushi Kumtusi”

Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Arusha na mkoani Kilimanjaro, wamejitokeza kwa wingi kumpokea Godbless...

READ MORE

Steve Nyerere – “Nafuta Kauli Yangu Ya Ubunge Wa Kupewa, Mwana -Fa Ni Mteuliwa Wa Mama”-Video

KWENYE EXCLUSIVE ya Global TV tumepiga stori na mwanaharakati na comedian maarufu Bongo Steve Nyerere ambaye amefunga mengi juu ya...

READ MORE

Shemeji Yangu Alinisingizia Nimejaribu Kumbaka Ili Niachane na Mke Wangu

Kamwe siwezi kusahau miaka kama sita iliyopita ambapo shemeji yangu alinifungulia kesi mahakamani kuwa nilitaka kumbaka jambo ambalo sio la...

READ MORE

Ajali ya Treni ya abiria Ugiriki Yaua watu 36 na Kujeruhi 85 – Video

Idadi ya watu waliofariki katika ajali iliyotokea Jumanne kati ya treni ya abiria na treni ya mizigo, kaskazini mwa Ugiriki...

READ MORE

Marekani Yaipongeza Nigeria Kwa Uchaguzi Mkuu Na Kutoa Wito Wa Utulivu

Marekani imeipongeza Nigeria kwa kuchaguliwa kwa mgombea urais wa chama tawala Bola Tinubu, huku ikitoa wito wa utulivu huku kukiwa...

READ MORE

Hatimaye Godbless Lema Awasili Tanzania, Akabidhiwa Biblia na Wazee wa Chadema – Video ya Mapokezi Ipo Hapa

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini na aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema, leo...

READ MORE

Biashara United Mara Yaingizwa Sokoni

Klabu ya soka ya Biashara United ya mkoani Mara iliyokuwa ikimilikiwa na wanachama, kwa sasa imepata mmiliki mpya ambaye ni...

READ MORE

Bei za Mafuta Dar Zaongezeka Kutumia Kunzia leo Jumatano Machi 1, 2023

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia leo Jumatano Machi...

READ MORE

Simba Waja Kivingine CAF… Kutinga Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa dakika 180 za mechi zao za Uwanja wa Mkapa watakomalia kushinda mechi zote ili...

READ MORE

Exclusive Video: Baba Wa Osam Aliyeburuzwa Na Basi La Mwendokasi, Hajaamini Kusikia Mwanaye Yupo Hai…

GLOBAL TV imefika nyumbani kwa Osam mtembea kwa miguu aliyeonekana akigongwa na basi la mwendokasi kupitia kamera za CCTV. Mke...

READ MORE

Elon Musk Arejea kuwa Tajiri Namba Moja Duniani Baada ya Kupoteza kwa Muda Mfupi

  ELON Musk amerejea katika nafasi ya kuwa mtu tajiri zaidi duniani, baada ya kupoteza kwa muda mfupi taji kwa...

READ MORE

Yanga Haitaki Utani Watuma Ujumbe Mzito Simba Kubeba Ubingwa wa Ligi

UONGOZI wa Yanga, umeweka wazi kuwa, wapinzani wao ndani ya Ligi Kuu Bara hawataamini namna watakavyofanikiwa kutetea taji hilo msimu...

READ MORE

Matokeo ya uchaguzi wa Nigeria 2023: Kiongozi wa Chama Tawala Bola Tinubu Atangazwa Mshindi

Mgombea wa chama tawala, Bola Tinubu ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliokumbwa na utata nchini Nigeria. Mwanasiasa huyo mkongwe...

READ MORE