×

Ajali Mbaya: Prado Lagonga Lori Pwani, Mpishi Maarufu Lilian Catering Afariki… -Video

Mpishi maarufu wa vyakula na mpambaji kwenye shughuli mbalimbali mwenye makazi yake mkoani Morogoro anayejulikana kwa jina maarufu la Lilian...

READ MORE

Mzozo wa Sudan: Uingereza Yamhamishia Balozi Wake wa Sudan, Ethiopia

Uingereza inasema Giles Lever, balozi wake nchini Sudan, amehamishiwa katika nchi jirani ya Ethiopia baada ya kufungwa kwa ubalozi wake...

READ MORE

Fistoni Mayele Aongoza kwa Kupendwa na Wanawake Bongo

MCHEZAJI mahiri wa Yanga, Fistoni Mayele anaongoza kwa kupendwa na wapenzi wa mpira wa miguu wanawake Bongo. Utafiti uliofanywa na...

READ MORE

Mr Eazi na DJ Edu Watangaza Kuachia Wimbo wa Kwanza wa Choplife Soundsystem Uitwao Wena

  Baada ya kutangaza habari kubwa za ujio wa project ya Afrodance Soundsystem , wasanii wakubwa wa muziki, Mr Eazi...

READ MORE

Inonga Aipa Jeuri Simba Nchini Morocco Dhidi ya Wydad Casablanca

KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amesema anafurahishwa na ushirikiano uliopo kwenye safu ya ulinzi ya timu hiyo inayoongozwa...

READ MORE

Urusi Yamzuia Balozi wa Marekani Kumtembelea Mwandishi

URUSI imesema haitamruhusu balozi wa Marekani kumtembelea mwandishi wa habari wa Marekani aliyezuiliwa nchini humo Evan Gershkovich Waziri wa mambo...

READ MORE

Fiston Mayele Awapiga Mkwara Mzito Rivers United kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar

STRAIKA hatari wa Yanga raia wa DR Congo, Fiston Mayele, ameibuka na kusema kuwa, amesikia kauli za viongozi wa Rivers...

READ MORE

Kenya, Uganda na Tanzania Zawasilisha Maombi ya Kuandaa AFCON 2027

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limepokea maombi kutoka nchi sita zinazowania uenyeji wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika...

READ MORE

Wanajeshi 33 wa Burkina Faso Wauawa katika Shambulio la Wanamgambo wa Kiislamu

Shambulio la watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa kiislamu liliua wanajeshi 33 mashariki mwa Burkina Faso jana Alhamisi, jeshi limesema. Kikosi...

READ MORE

Nawashukuru WCF Kwa Kuniwezesha Kuyamudu Maisha” Mnufaika wa Fidia

MNUFAIKA wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Bw. Deus Anthony, ameushukuru Mfuko huo kwa kumuwezesha kuyamudu maisha licha ya...

READ MORE

GGML Yaja na Teknolojia za Kisasa Maonesho ya OSHA, Wananchi Wavutiwa Mifumo ya Usalama

  NA MWANDISHI WETU KATIKA kuadhimisha siku ya usalama na afya mahala pa kazi duniani – 2023 ambayo kitaifa yanafanyika...

READ MORE

Benki Ya NMB Yashiriki Wiki ya Ubunifu 2023 Dodoma

 Benki ya NMB imeendelea kuunga mkono juhudi ya Serikali kupitia Wizara ya Sayansi, Elimu na Teknolojia, kwa kudhamini na kushiriki...

READ MORE

Blackjack Live ni Sloti Rahisi Kushinda Hela Meridianbet

Sloti ya Blackjack Live      Kasino ya Mtandaoni Meridianbet kwa kushirikiana Expanse Studios wamekuja na sloti ya kijanja ya Blackjack Live/...

READ MORE

Basata Yaungana na Kampuni ya Chapride Kunogesha Tuzo za TMA, Watu 1500 Kusafiri Bure

  Kuelekea kilele cha Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) zitakazotolewa April 29, 2023 katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki jijini...

READ MORE

Rais Samia Ampokea Rais Kagame Ikulu Dar, Apigiwa Ngoma Za Asili – (Video+Picha)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Aprili 27, 2023 amempokea Mgeni wake Rais wa Rwanda...

READ MORE

Chama: Uzoefu Unatubeba Dhidi ya Wydad Casablanca Morocco

KUELEKEA mchezo wao wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Casablanca, kiungo Mzambia wa Simba, Clatous...

READ MORE

Wami/Ruvu Kuwaondoa Wanaoishi Chini Ya Daraja La Mto Morogoro

Morogoro, 27 Aprili 2023: Bodi ya Maji Bonde la Wami Ruvu imeanza oparesheni ya kusafisha mito iliyopo mkoani Morogoro pamoja...

READ MORE

Rais Paul Kagame Awasili Nchini Kwa Ziara ya Kikazi ya siku Mbili – (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Rwanda leo Aprili 27, 2023 amewasili nchini kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili. Katika uwanja...

READ MORE

Wanafunzi wa Kitanzania Waliokuwa Masomoni Nchini Sudan Waondolewa Kurudishwa Tanzania

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imefanikiwa kuwaondosha wanafunzi wote wa Kitanzania...

READ MORE

Wapinzani Wa Yanga Waingia Mchecheto Mchezo wa Marudiano kwa Mkapa

YANGA washindwe wenyewe kwani wapinzani wao, Rivers United wanatarajiwa kuwakosa wachezaji wao wawili tegemeo watakapokutana katika mchezo wa marudiano wikiendi...

READ MORE