×

Mke Wangu Amerejea Nyumbani Baada ya Kuniacha kwa Muda wa Miaka Miwili Sababu

  Katika miaka 21 niliyoishi kwenye ndoa, nimehitimisha kwa kusema kuwa; ndoa inahitaji uvumilivu mkubwa sana, ndoa inahitaji kuwa na...

READ MORE

Matokeo Walioshinda Nafasi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba – Video

Walioshinda nafasi ya wajumbe watano wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba katika uchaguzi uliofanyika jana Januari 29 na...

READ MORE

Murtaza Mangungu Ashinda kiti cha Uenyekiti Simba kwa Mara Nyingine – Video

Murtaza Mangungu ameshinda kiti cha Uenyekiti wa klabu ya Simba kwa mara nyingine tena akimpiga chini mgombea Mwenza Moses Kaluwa...

READ MORE

Chongolo Awanyooshea Kidole Watendaji wa Serikali, Akemea Migororo ya Ardhi

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Daniel Chongolo amewanyooshea kidole watendaji wa serikali kwa kuwa na tamaa za...

READ MORE

Jumuiya Ya Wazazi CCM, Dar Ilivyoazimisha Miaka 46 Ya CCM

Dar es Salaam 29 Januari 2023: Katika kuadhimisha miaka 46 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) jana Jumamosi Jumuiya...

READ MORE

Yanga: Tunachukua Tena Kombe la ASFC… leo Jumapili Kuvaana na Rhino Rangers

WAKIWA wanashuka uwanjani leo Jumapili kuvaana na Rhino Rangers ya Tabora katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports...

READ MORE

Mangungu, Kaluwa Ngoma Nzito Simba, leo Jumapili Kufanya Mkutano Mkuu

KLABU ya Simba, leo Jumapili inatarajiwa kufanya mkutano mkuu wenye ajenda 13 ikiwemo ishu ya uchaguzi mkuu wa kuchagua mwenyekiti...

READ MORE

Papa Francis Kutembelea DRC na Sudan Kusini siku ya Jumanne

Papa anatembelea nchi hizo mbili ambako miaka mingi ya mizozo imewalemaza wengi na bado ni miongoni mwa maeneo magumu zaidi...

READ MORE

Shambulio la Sinagogi Jerusalem: Saba Wauawa katika Shambulio la Risasi

Watu saba wamepigwa risasi na kufa katika sinagogi lililopo mashariki mwa mji wa Jerusalem, ikiwa ni idadi kubwa ya watu...

READ MORE

Mazishi ya Mtanzania Nemes Tarimo Aliyeuawa Vitani Ukraine Yafanyika Kijijini Kwao -(Picha +Video)

MAZISHI ya Raia wa Tanzania, Nemes Tarimo aliyefia vitani Ukraine yamefanyika kijijini kwao katika wilaya ya Tukuyu Nyada za juu...

READ MORE

DCI Ramadhani Kingai Atembelea Ocean Road,”Polisi nao Ni Wanajamii”

Askari Polisi alijiunga na Jeshi la Polisi na kuhudhuria mafunzo ya awali mwaka 2000/2001 leo wametembelea Taasisi ya Saratani Ocean...

READ MORE

Chongolo Azitaka Mamlaka za Usimamizi Miradi ya Serikali Morogoro Kuwa Makini

  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amezitaka mamlaka za usimamizi za serikali Mkoa wa Morogoro kusimamia...

READ MORE

Tishio la Dunia Kukumbwa na Janga la Njaa Lina Maana Gani kwa Tanzania?

  DUNIA inatarajiwa kukumbwa na janga la njaa kwa mwaka 2023 huku ikitajwa kuwa ni janga mbaya zaidi la njaa...

READ MORE

Waarabu Watuma Mashushushu Yanga Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika

KOCHA Mkuu wa Klabu ya US Monastir ya Tunisia, Darkov Novic ameweka wazi kuwa wanatambua wapinzani wao Yanga ni miongoni...

READ MORE

Erik ten Hag: Manchester United Watanyanyua Taji Msimu Huu

KOCHA wa Manchester United, Erik ten Hag alisema kwamba timu yake ina nafasi nzuri ya kushinda taji lao la kwanza...

READ MORE

Meridianbet Wanatoa Odds Bomba Mechi za Wikiendi Mambo ni Moto!

Wikiendi hii ni ya kibabe Zaidi ikisindikizwa na Odds bomba na kubwa kutoka Meridianbet, ni FA Cup, Serie A, La...

READ MORE

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) Afariki Dunia

Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Nilonge Nisilonge miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo...

READ MORE

GGML: Uwanja Mpya wa Geita Gold FC Kukamilika Mei

  NA MWANDISHI WETU UWANJA wa Magogo unaojengwa na Halmashauri ya Mji wa Geita kwa kushirikiana na Kampuni ya Geita...

READ MORE

Nimefunga Ndoa na Mama Mwenye Nyumba Wangu, Mapenzi Yamenoga

KAMA kijana wa kiume unajua kuna mambo yanaweza kukutokea hadi wewe mwenyewe ukawa unashangaa maana yake ni ipi hasa, ndicho...

READ MORE

SBL Inaendelea Kukuza Kilimo Kupitia Programu Ya Kilimo Viwanda

Januari 24, 2023: Kilimo kinaendelea kuimarika kama moja ya sekta kuu za kiuchumi nchini Tanzania; sekta hiyo inaajiri mamilioni ya...

READ MORE