×
Waziri Aliyekuwa Mchawi-7

ILIPOISHIA WIKIENDA “Kunywa upate nguvu,” akaniambia.  Nikapiga funda moja. Ilikuwa dawa chungu kama shubiri.  “Meza unywe tena.”  Nikajikaza na kuimeza kisha nikapiga funda lingine. Nikalimeza…

SOMA ZAIDI

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-13

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA: Siku za baba Shua kukaa Arusha zilibaki mbili, lakini akarudi nyumbani kwake Dar bila kuzimaliza. Alifika saa kumi na mbili…

SOMA ZAIDI

Familia ya Kichawi -26

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Kama mchawi alitakiwa kumtoa mmoja wa watu wake wa karibu kwa ajili ya kuliwa nyama halafu akawa hana, akasema anakopa, yaani ale…

SOMA ZAIDI


The Angel of Darkness- 13

Shambulizi kubwa la kigaidi linatokea kwenye kituo kikubwa cha biashara nchini Kenya, Kikuyu Mall na kusababisha vifo vya watu wengi, wakiwemo Wakenya, Watanzania na watu…

SOMA ZAIDI

Wema amliza mama Sharo Milionea

Mama wa msanii marehemu Hussein Mkiety ‘Sharo Milionea’ akilia. Hamida Hassan Wasanii mbalimbali wa filamu waliomo kwenye Kampeni za CCM kupitia mpango wa Mama Ongea…

SOMA ZAIDI


Matukio ya Coco Beach Idd el Hajj

Mama akijaribu kumuogesha mwanaye kwenye fukwe hizo. Vijana wakiogelea kwa kutumia ‘maboya’. Vijana wakiwa na vifaa vya kuogelea baada ya kutoka kuogelea. Michezo ya bahati…

SOMA ZAIDI


Dar Live kumekucha! watoto wajiachia

Watoto wakishindana kuogelea.Watoto wa kike na wa kiume wakishindana kukimbia huku wamevaa magunia. Watoto wakiwa katika bembeaWatoto wakiendelea kuburudika kwenye bembea hizo.Hizi ni baiskeli ndogo…

SOMA ZAIDI

Sikukuu Njema

MKURUGENZI Mtendaji wa Global Publishers Ltd, menejimenti na wafanyakazi wote, wanawatakia  kila la heri Waislam na Watanzania wote katika kuadhimisha Sikukuu IDD EL HAJJI  katika…

SOMA ZAIDIMagufuli: Niko fiti

Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Magufuli akipiga push up jukwaani. Stori: Na Richard Bukos, Kagera NIKO fiti! Ndivyo alivyosema mgombea urais…

SOMA ZAIDI


Diamond azua kizaazaa

Kundi kubwa la vijana wakigombea kumuona mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’, katika Viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba. Stori: Richard Bukos aliyekuwa Kagera UNAZI! Kundi kubwa la…

SOMA ZAIDI

Wema: Sherehe ya Tiffah haikunihusu

Staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu ‘Madam’. Imelda Mtema Staa asiyechuja Bongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa hakuhudhuria kwenye 40 ya mtoto wa mwanamuziki Nasibu Abdul…

SOMA ZAIDI
Jini Mweusi-43

Alijijengea heshima kubwa nchini Tanzania kutokana na utendaji kazi wake mkubwa aliokuwa akiufanya katika jeshi la polisi. Kutokana na umahiri wake, akapandishwa vyeo na mwisho…

SOMA ZAIDI

Mwakifwamba awatemea cheche wasanii

Gladness Mallya RAIS wa Shirikisho la Filamu Tanzania ‘TAFF’, Simon Mwakifwamba amewatemea cheche wasanii na kuwataka kuachana na kuendekeza kupokea fedha za wanasiasa tu bila…

SOMA ZAIDI

Kwa nini hawara ale cha mkeo?

Asalam alaikum, bwana Yesu asifiwe. Poleni kwa majukumu ya wikiendi na ni matumani yangu wazima na wale wagonjwa nawaombea dua mtapona ishallah. Nashukuru kwa kunisoma…

SOMA ZAIDIAliens akamatwa, ahifadhiwa!

Wiki iliyopita nilizungumzia eneo hatari linaloaminika kuwa ni makao ya Aliens au makao makuu ya shetani hapa duniani. Ni Bermuda Triangle inayopatikana Pwani ya Kusini-Mashariki…

SOMA ZAIDI


Maajabu Ndani ya Basi la Dar-Arusha-6

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Nilinyamaza kimya bila kumjibu, nikalala usingizi wa moja kwa moja, nilipokuja kushtuka tulikuwa tunaingia Moshi mjini. Nikamwangalia Rehema, hakuwepo, alikuwa yule mzee….

SOMA ZAIDI

We baba fanueliii!!!-15

ILIPOISHIA Alichokifanya ni kumsogelea, alipomfikia tu, kwanza akambipu kwa kuupeleka mkono kiunoni mwa mwanamke huyo, mkono huo ukapokelewa kwa tabasamu pana. Akaona yes, mambo yamejipa….

SOMA ZAIDI
spotiXtra


Global TV Online