×

Waziri Mkuu Awahakikishia Wakazi Wanaohama Ngorongoro Kufanya Ufugaji Bora -Video

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia wakazi wanaohama kwa hiari yao kutoka katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelekea kijiji...

READ MORE

Nigeria Yapiga Marufuku Digrii za Mitandaoni, Yataka Wanafunzi Kufuata Utaratibu

KATIKA tangazo lililozua mshtuko, Baraza la Matibabu na Meno la Nigeria limesema halitatambua shahada kutoka vyuo vikuu vya Ukraine zilizopatikana...

READ MORE

Picha Mpya za 2pac Zawa Gumzo, Mashabiki Wadai Anaweza Kuwa Hai

ALIYEKUWA rapa kutokea Marekani, 2pac Amaru Shakur aliyefariki mwaka 1996, amezua gumzo na taharuki katika mitandao mbalimbali ya kijamii baada...

READ MORE

Mawakala wa Bima Nchini Wafikisha Kilio Chao Serikalini

  CHAMA cha Mawakala wa Bima Nchini (IAAT) leo Juni 23,2022 leo kimefungua mkutano wake mkuu wa tatu ambapo walikuwa...

READ MORE

Uongozi wa Yanga Wafunguka Bei ya Kumuuza Kiungo Wao Mshambuliaji, Feisal Salum

  UONGOZI wa Yanga, umeweka wazi bei ya kumuuza kiungo wao mshambuliaji, Feisal Salum kuwa ni shilingi bilioni moja, hivyo...

READ MORE

Madaktari Wapandishwa Kizimbani Kujibu Shutuma za Kifo cha Maradona

JUMLA ya madaktari nane wanatarajiwa kupanda kizimbani kujibu tuhuma za kusababisha kifo cha gwiji wa soka duniani Diego Armando Maradona...

READ MORE

Bunge la Ulaya Laipigia Kura Ukraine na Moldova Kujiunga na EU

UMOJA wa Ulaya EU leo umeipigia kura nchi ya Ukraine pamoja na Moldova kuzipatia hadhi ya ugombea wa kujiunga na...

READ MORE

Gari ya Kifahari Aina ya Bugatti Veyron ya Cristiano Ronaldo Yapata Ajali Hispania

MOJA ya magari mawili ya kifahari ambayo, Cristiano Ronaldo alikuwa ameyasafirishwa kwenda Mallorca nchini Hispania kwa ajili ya likizo ya...

READ MORE

Cesar Manzoki raia wa Afrika Kati Awazimia Simu Simba Kisa Mabosi wa Yanga

  INARIPOTIWA kuwa straika, Cesar Manzoki raia wa Afrika Kati mwenye uraia wa DR Congo amewafanyia umafia wa kutisha mabosi...

READ MORE

Urusi Yaripotiwa Kumuua Mwandishi wa Habari Raia wa Ukraine

MWANDISHI wa habari raia wa Ukraine anayefahamika kwa jina la Maks Levin ameripotiwa kuuawa na vikosi vya Urusi katika msitu...

READ MORE

Video: Spika Mtegoni Sakata La Kina Mdee, Utata Waibuka, Kutoa Uamuzi Wao Bungeni | Front Page

 Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi...

READ MORE

Simba Yatumia Ujanja Kumnasa Kiungo Fundi, Yazungumza na Familia Yake

UNAAMBIWA pamoja na Wydad Casablanca na Raja Casablanca zote za Morocco kuhitaji saini ya kiungo raia wa Guinea, Morlaye Sylla,...

READ MORE

Live: Mawaziri Wabanwa Bungeni kwa Maswali na Majibu, Bunge La 12, Mkutano wa 7

 Bunge la 12 mkutano wa 7 umeendelea leo jijini Dodoma, ambapo wabunge wamepata nafasi ya kuhoji maswali kwa serikali,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

JIpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Kongamano Uchumi wa Bluu Laibua Fursa Lukuki

  SERIKALI imesema inaweka mazingira mazuri kuhakikisha kipaumbele kwenye fursa zilizoko kwenye uchumi wa bluu kinakuwa kwa watanzania kabla ya...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Juni 23, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Juni 23, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Naibu Waziri Ndejembi Apamba Uzinduzi wa Strategis Insurance Dodoma

  Moja ya makampuni binafsi ya bima yanayoongoza nchini, Strategis Insurance, imezindua rasmi tawi la Dodoma katika jitihada za kujitanua...

READ MORE

Ikulu ya Marekani Yapanga Kupunguza Nikotini kwenye Sigara

IKULU ya Marekani White House imetangaza mipango ya kupunguza kiwango cha malighafi ya Nikotini kwenye sigara hatua inayosemekana kuwa inaweza...

READ MORE

Meridianbet Yatoa Vifaa vya Michezo Klabu Nne za Madaraja ya Chini za Mkoa wa Dar

KAMPUNI ya Meridianbet imeendelea na utamaduni wake wa kushirikiana na jamii, na kuwatengenezea vijana hamasa ya kuendeleza vipaji vyao. Kama...

READ MORE