×

Yanga Yamtambulisha Mshambuliaji Laurindo Depu Kutoka Poland

Klabu ya Yanga rasmi imemtambulisha mshambuliaji wa kati Laurindo Dilson Maria Aurélio Depu (25), raia wa Angola, akitokea klabu ya...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yagawa Kapu La Vifaa Vya Shule Kwa Wanafunzi Mbeya

Meneja mauzo wa Vodacom Tanzania Plc wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya Happyness Lyimo ( wa pili kulia) pamoja na afisa...

READ MORE

Rais Samia: Ukomavu wa Taasisi Zetu Umeiwezesha Tanzania Kujitegemea Kidemokrasia – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania imefanikiwa kuendesha Uchaguzi wa saba wa kidemokrasia tangu...

READ MORE

Msajili Wa Hazina Aomba Ushirikiano Wa PIC Kuimarisha Mageuzi Ya Uwekezaji Wa Umma

Dodoma. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) leo, Januari 15, 2026 imeendesha semina maalumu kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge...

READ MORE

Ukitaka Taarifa Zote za Michezo Ingia Meridianbet Sport Portal

Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu...

READ MORE

AFCON 2025: Senegal na Morocco Wakutana Fainali ya Moto Jumapili

Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2025 imepata fainali yake baada ya Morocco na Senegal kufanikiwa kuvuka hatua...

READ MORE

Raia wa Kenya Akamatwa Arusha kwa Wizi wa Tsh Milioni 91 Ndani ya Benki – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limefanikiwa kumkamata mtu mmoja aitwaye Denis Ogesa (28) mkazi wa Nairobi nchini Kenya, kwa...

READ MORE

Miaka 7 ya Ndoa: Adekunle Gold na Simi Wazungumza Hali ya Upendo Wao

Wanandoa maarufu wa Nigeria, Adekunle Gold na Simi, wameadhimisha miaka saba ya ndoa yao kwa kuishirikisha dunia hisia zao kupitia...

READ MORE

Rose Muhando Afunguka Kuhusu Haki za Mapato ya Muziki Wake – Video

Msanii maarufu wa muziki wa injili nchini Tanzania, @malkiarosemuhando ameibuka hadharani na kutoa malalamiko mazito kuhusu kile alichokitaja kuwa ni...

READ MORE

Taharuki Yatokea Baada ya Mama Kumfumania Mumewe na Binti Yao Gesti

Siku hiyo nilifikiria kuwa ni ya kawaida. Nilikuwa nimechoka na masuala ya familia na kazi, nikihitaji muda wa kupumzika na...

READ MORE

Furaha ya Win&Go Meridianbet Inarudi na Lucky Loser

Umewahi kuhisi msisimko wa kubashiri, ukaweka tiketi ya Win&Go na namba zote zikapoteza? Meridianbet wanakuleta suluhisho la kuvutia. Unaletewa Lucky...

READ MORE

Uganda Yasimamisha Mashirika 10 ya Kiraia Siku Moja Kabla ya Uchaguzi

Serikali ya Uganda imeamua kusitisha kwa muda usiojulikana shughuli za mashirika 10 yasiyo ya kiserikali (NGOs), ikieleza kuwa uamuzi huo...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 15, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Waziri Mkuu Akutana na Balozi wa Japan Kuhusu Ushirikiano wa Miradi na Uwekezaji

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yoichi Mikami na kujadiliana naye masuala ya...

READ MORE

Katambi, Ayoub Wapokelewa Wizara Ya Mambo Ya Ndani Ya Nchi

Waziri wa Mambo ya Ndani Nchi, Mhe. Patrobas Katambi amekabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo George Simbachawene leo...

READ MORE

Mambo 10 Muhimu Aliyoyasema Waziri Makonda Alipokabidhiwa Ofisi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ametoa kauli nzito jana wakati wa hafla ya kukabidhiwa ofisi kutoka...

READ MORE

Dkt. Mwigulu: Kazi Zinazoweza Kufanywa Na Wazawa Zisifanywe Na Wageni

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka wizara zinazohusika na masuala ya ajira zisimamie kikamilifu utekelezaji wa sheria zinazotaka kazi zinazoweza...

READ MORE

Yajue Maajabu ya mwezi Februari, Waingia Kwenye Historia ya ‘Perfect Month 2026’

Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii, huenda tayari umekutana na neno linalotikisa mtandaoni kwa sasa; Perfect February...

READ MORE

Gabon Yaondoa Adhabu Dhidi ya Aubameyang na Timu ya Taifa

Shirikisho la Soka la Gabon limetangaza kufuta hatua zote zilizokuwa zimechukuliwa dhidi ya timu ya taifa pamoja na baadhi ya...

READ MORE

Siku ya leo kubadilisha maisha yako Piga Pesa Kupitia Mechi Kubwa za Ulaya na Saudi

Siku ya leo inaenda kubadilisha maisha yako moja kwa moja kwani mechi kibao zipo uwanjani na nafasi ya kuondoka na...

READ MORE