×

SOKABET INAVYOKUPA SH 100M KWA BUKU TU, FANYA HAYA…

 

KATIKA Sokabet Jackpot unaweza kushinda hadi Sh milioni 100 ikiwa utapatia matokeo ya michezo 13 tu huku wewe ukiweka Sh 1,000 kama fedha yako ya kubet.

Ukitaka kushiriki kumbuka kutakuwa na mechi 3 za ziada ambazo zinawekwa ili zijumuishwe kwa dharura endapo itatokea kuna mechi ndani ya zile 13 haikufanyika au haikumalizika, lakini zote zikichezwa bila tatizo, basi hazitaathiri zile 13 ambazo ndizo muhimu.

Ikitokea umekosea kubeti michezo kadhaa bado utakuwa na nafasi ya kujiingizia fedha. Mgawanyo sahihi wa fedha za ushindi kwa mechi utakazopatia upo hivi:

Mechi Fedha utakazopata

13/13 Sh 100,000,000

12/13 Sh 2,500,000

11/13 Sh 1,000,000

10/13 Sh 500,000

9/13 Atashiriki bure Jackpot inayofuata

TUMIA SIMU KUBA

SHI

RIKI

Kwa kutumia simu ya mkononi katika mita

ndao ya maka

mpuni matatu, unaweza kufanya huduma za kubashiri matokeo na kujiingizia fedha nyingi kwa kufuata mchakato kadhaa.

TIGO PESA (*150*01#) au VODACOM M-PESA (*150*00#) au AIRTEL MONEY (*150*60#)

NAMBA YA KAMPUNI: 335757

KUMBUKUMBU NO: SOKABET

Kwa kutumia mfumo wa USSD ambao unakuwezesha kubashiri kwa kutumia simu, unatakiwa kufuata mchakato ufuatao, kumbuka huduma hii inapatikana kupitia mitandao ya Tigo, Airtel na Vodacom.

Piga *148*89#

Utakaribishwa ndani ya huduma za Sokabet wa ujumbe wa ‘Karibu Sokabet’ kisha utapewa orodha hii:

  1. Bet na Odds za mpira 2. Jackpot Bets 3. Weka pesa 4. Toa pesa 5. Salio 6. Mkeka 7. Msaada 8. Jisajili

Kupitia ujumbe mfupi wa maandishi yaani SMS pia unaweza kufanya yako katika Sokabet. Unachotakiwa ni kutumia namba 15800. Ingia ndani ya sehemu ya kuandika SMS katika simu yako kisha unaweza kufanya haya yafuatayo:

KUBET MECHI MOJA (Single Bet)

Mfano: Arsenal Washinde

Andika Neno Bet <AchaNafasi>Code ya Mechi>Ubashiri*kiasi cha pesa>TUMA KWENDA 15800

Mfano: Bet 28983#2*1000 TUMA KWENDA 15800

KUBET MECHI ZAIDI YA MOJA (Multiple Bet)

Bet<AchaNafasi>CodeyaMechi>Ubashiri+CodeyaMechi>Ubashiri+CodeyaMechi>Ubashiri*kiasi cha pesa>TUMA KWENDA 15800

Mfano: Arsenal + Monaco + Fulham

Bet 28983#2+28916#1

+29911#X*1000 KISHA TUMA KWENDA 15800