×

Tag: ACT wazalendo

Kauli ya Zitto Baada ya ACT Wazalendo Kuambulia Patupu Kata Zote

KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, leo Jumatatu, Novemba 27, 2017 amefunguka kuwa, chama chao wameshapata matokeo ya...

READ MORE

Kamati Kuu ACT-Wazalendo kutuma wawakilishi polisi

    Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kamati kuu ya chama hicho haitakwenda kuripoti polisi kama ilivyoagizwa bali itawakilishwa na mwenyekiti...

READ MORE

Zitto Kabwe: Nipo Tayari Kuwajibika Rais Akitekeleza Ombi Hili

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amesema kuwa atakuwa tayari kuwajibika endapo Rais Dkt...

READ MORE

Breaking News: Zitto Afunguka Makubaliano ya Serikali na Barrick – Video

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Zitto Zuberi Kabwe, amefungukia madai ya kuitwa kibaraka wa wazungu kwenye sakata la makinikia, ambapo amesema...

READ MORE

Mwigamba wa ACT Wazalendo na Wenzake 10 Wahamia CCM

IKIWA ni siku tatu baada ya Samson Mwigamba kujiuzulu uenyekiti wa Kamati ya Kampeni na Uchaguzi Taifa na ujumbe wa...

READ MORE

ACT-Wazalendo Wafunguka Kung’atuka kwa Mwigamba, Waishutumu CCM – Video

UONGOZI wa ACT-Wazalendo umesema u,naheshimu maamuzi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kampeni na Uchaguzi wa chama chao, Samson Mwigamba aliyeandika barua...

READ MORE

Mwenyekiti ACT-Wazalendo Ajiuzulu

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati ya Kampeni na Uchaguzi ya ACT-Wazalendo, Samson Mwigamba amejiuzulu uongozi ndani ya chama hicho. Wasira Aikosoa...

READ MORE

ACT- WAMJIBU RAIS MAGUFULI ISHU YA KUTOONGEZA MISHAHARA

  CHAMA cha Act-Wazalendo kimesikitishwa  na kauli ya Rais Magufuli aliyoitoa jana kwenye ufunguzi wa mkutano wa Jumuiya ya Tawala...

READ MORE

Baba Levo: Udiwani Hauna Mtonyo Labda Uibe

DIWANI wa Kata ya Mwanga – Kaskazini katika Jimbo la Kigoma-Mjini kwa leseni ya ACT-Wazalendo ambaye ni msanii wa Bongo...

READ MORE

Kiongozi Huyu Aliyedaiwa Kulewa Pombe Mbele ya JPM, Siri Nzito Yafichuka

  DAR ES SALAAM: Wakati Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa wa Pwani, Mrisho Swagara akitoa shutuma nzito kwa Katibu wa...

READ MORE

Anna Mghwira Apinga Kuvuliwa Uenyekiti wa ACT Wazalendo

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Elisha Mghwira amepinga uamuzi wa chama hicho...

READ MORE

RC Anna Mgwhira Avuliwa Uenyekiti wa ACT- Wazalendo

Chama cha ACT Wazalendo  kimesitisha rasmi uenyekiti wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho tangu kuanzishwa kwake, Anna Mghwira, baada ya...

READ MORE

Maamuzi Ya Kikao Cha Kamati Ya Uongozi Juu Ya Uenyekiti Wa Chama Cha ACT

Tarehe 3 Juni, 2017 Mwenyekiti wa chama chetu cha ACT Wazalendo, Mama Anna Elisha Mghwira aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

Exclusive: Dakika 26 za Mama Anna Mghwira Nyumbani Kwake Baada ya Kuapishwa (VIDEO)

SAA chache baada ya Anna Mghwira kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, kuwa Mkuu...

READ MORE

Rais Magufuli Amteua Mama Anna Mgwhira Kuwa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro

IKULU: Rais Magufuli amemteua Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, mama Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akijaza nafasi ya...

READ MORE

ACT-Wazalendo Waitisha Mkutano Wa Kupigania Upatikanaji Wa Katiba Mpya

Chama cha ACT- Wazalendo kimepanga kuwasha moto mjadala wa Katiba mpya katika mkutano wake kidemokrasia kilioitisha jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Uamuzi wa MCC utawaumiza wananchi wa vijijini – ACT-Wazalendo

ACT WAZALENDO TAARIFA KWA UMMA UAMUZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA MCC WA KUSITISHA MAHUSIANO NA TANZANIA YATAWAUMIZA WANANCHI WA...

READ MORE