×

Tag: ACT wazalendo

Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Viongozi wa ACT- Wazalendo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Chama cha ACT...

READ MORE

Makamu wa Rais wa Zanzibar Afanya Mazungumzo na Uongozi wa Vijana ACT- Taifa

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Makamu M/Kiti wa Chama cha ACT – Wazalendo Zanzibar,  Othman...

READ MORE

Zitto Autaka Urais, Agusia Uwezekano wa Vyama vya Upinzani Kuungana

KIONGOZI wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe ameweka bayana kuwa anatamani kuwa Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Kuzungumza na Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Juma Duni Haji

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo Juma...

READ MORE

CCM Yaipongeza ACT Wazalendo – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimekipongeza Chama cha ACT Wazalendo kwa kuibuka mshindi katika kinyang’anyiro cha Ubunge katika Jimbo la Konde...

READ MORE

Othman Aanika Sababu Mbunge CCM Kujiuzulu

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud amepasua jibu la uchaguzi wa marudio wa Konde na sababu zilizomfanya...

READ MORE

Ado Sahibu: Chimbuko la ACT Wazalendo ni Chadema – Video

  CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kuwa chimbuko la chama hicho kwa asilimia kubwa limetokaana na Chama cha Demokrasia na...

READ MORE

ACT Yaanika Usiyoyajua Kuhusu Maalim Seif – Video

CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kuwa vuguvugu la kumng’oa Maalim Seif kutoka Chama cha Wananchi CUF kuelekea ACT lilianza mara...

READ MORE

ACT Wazalendo Yaanika Ilivyotofautiana na Membe – Video

  CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema kutokana na uzoefu waliokuwa nao kwenye chaguzi za Serikali za Mitaa, walikuwa hawaamini kama...

READ MORE

ACT Wazalendo Yafunguka Sakata la Membe “Hatujutii”

Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema kuwa aliyewahi kuwa mshauri wa chama hicho Bernard Membe, aliondoka...

READ MORE

Dorothy Semu Kaimu Mwenyekiti Wa ACT-Wazalendo Taifa

    Chama cha ACT Wazalendo kimemteua Dorothy Semu kuwa Kaimu Mwenyekiti wa Chama hicho Kitaifa kufuatia kifo cha Mwenyekiti...

READ MORE

Wanachama 100 ACT Wazalendo Wahama, Agizo la JPM Latekelezwa Ubungo

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Lipumba Amwangukia Maalim Seif, Amwomba Arudi CUF

MWENYEKITI wa chama cha Civic United Front (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amemwomba aliyekuwa Katibu Mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad, ...

READ MORE

Membe Abwaga Manyaga ACT-Wazalendo

ALIYEKUWA mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo na mshauri wa chama hicho,...

READ MORE

Sakata la Membe Kudaiwa Kuondoka ACT-Wazalendo

BAADA ya kusambaa kwa taarifa mitandaoni zinazodai kwamba aliyekuwa mgombea urais wa chama cha ACT-Wazalendo, Bernard Membe, kuwa atajitoa katika...

READ MORE

Rais Mwinyi Amteua Maalim Seif

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamu wa...

READ MORE

Maalim Seif Akiri Kupokea Barua ya Rais Mwinyi

MWENYEKITI wa ACT-Wazalendo ambaye pia alikuwa mgombea urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika uchaguzi mkuu uliopita, Maalims Seif, amekiri...

READ MORE

Rais Mwinyi Amuita Maalim Seif Kuridhiana – Video

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema yuko tayari kushirikiana na vyama vingine vya siasa, kuendesha serikali kama ambavyo...

READ MORE

Membe Arejeshwa CCM, Dkt. Bashiru Afunguka!

DAR: Wakati ikiwa imesalia siku moja kabla ya Watanzania kufikia kilele cha Uchaguzi Mkuu Oktoba 28, mwaka huu, Mgombea Urais...

READ MORE

Maalim Seif: ‘Mzee wa Ubwabwa’ ni Bora Kuliko Membe

MGOMBEA urais wa chama cha ACT Wazalendo visiwani Zanzibar ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad,...

READ MORE

Maalim Seif Aahidi Muungano Serikali Tatu

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, ameendelea na kampeni zake katika kisiwa cha Pemba...

READ MORE

Msajili, Upinzani Lugha Gongana; Mgombea Urais Asitisha Kampeni – Video

MVUTANO unaendelea kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na vyama viwili vya siasa; Chama cha Demokrasiana Maendeleo...

READ MORE

Zitto Amaliza Utata Sakata la Urais Lissu, Membe

KAULI aliyoitoa Zitto Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo leo Jumanne, Septemba 22, 2020, imemaliza utata kwamba, chama hicho hakina...

READ MORE

Maalim Seif Amtangaza Lissu Urais, Membe Agoma!

  CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetangaza kumuunga mkono Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...

READ MORE

Maalim Seif Aahidi Neema ya Uchumi Zanzibar

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, amesema anakusudia kuifanya Zanzibar kuwa kitovu cha...

READ MORE

ZEC Yamteua Maalim Seif Kugombea Urais

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imemteua Maalim Seif Sharif Hamad kuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu...

READ MORE

Zanzibar: Maalim Seif Awekewa Pingamizi Mbili

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imeshindwa kumteua Maalim Seif Sharif Hamad kugombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT-Wazalendo baada...

READ MORE

Membe: Wanaodhani Nitajiondoa Urais Wanaota

MGOMBEA urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Bernard Membe, ameweka wazi kuwa hatajiondoa kwenye kinyang’anyiro cha urais wa Jamhuri ya...

READ MORE

ACT Wazalendo Waja na Vipaumbele 10

Chama cha ACT-Wazalendo leo Agosti 31, 2020 kimezindua Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu 2020 ikiwa na vipaumbele 10 vyenye majibu...

READ MORE

Zanzibar: Maalim Seif Achukua Fomu Za Kugombea Urais

Maalim Seif Sharif Hamad leo Agosti 30, 2020 amefika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kwa ajili ya kuchukua...

READ MORE

Majina ya Wagombea Ubunge Kupitia ACT – Wazalendo

KAMATI  Kuu ya Chama cha ACT- Wazalendo imewateua Mbarara Maharagande kuwa mgombea wa Ubunge Jimbo la Segerea, Zitto Kabwe Jimbo...

READ MORE

Chadema, ACT-Wazalendo Watangaza Kushirikiana Uchaguzi 2020

  Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ni Mgombea Urais Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema CHADEMA itashirikiana na vyama vingine...

READ MORE

Membe Achukua Fomu Kuwania Urais

WAZIRI mstaafu wa Mambo ya Nje, Bernard Membe,  leo mchana  Ijumaa, Julai 17, 2020, amechukua fomu ya kugombea urais kupitia...

READ MORE

Zitto Aitikisa Ngome ya Prof. Lipumba Kusini

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, ameacha simanzi ndani ya Chama cha Wananchi (CUF), Mkoa wa Mtwara na Lindi. ...

READ MORE

Maalim Seif Achukua Fomu Tena Kugombea Urais

MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalengo, Maalim Seif Sharif Hamad jana Jumapili, Julai 5, 2020, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya...

READ MORE

Kigogo ACT Ajiondoa “Zitto Kabwe Hafai Kuwa Rais” – Video

Aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Yeremia Kulwa Maganja, ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho, kwa kile alichodai haungi mkono baadhi...

READ MORE

Maalim Seif: Nimepindua Meza CUF

DAR: Mwenyekiti wa Chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Shariff Hamadi amesema kutokana na misingi aliyoijenga kwa wafuasi wake visiwani...

READ MORE

Abdul Nondo Arejesha Fomu Kugombea Nafasi Nyeti ACT – Video

  Mwanachama wa ACT Wazalendo, Abdul Nondo amerejesha fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ACT...

READ MORE

Abdul Nondo Afanya Maamuzi Magumu ACT-Wazalendo – Video

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo, jana Februari 21, 2020 amechukua fomu ya kugombea nafasi ya...

READ MORE

Zitto Kabwe Achukua Fomu

Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe leo Februari 18, jijini Dar es Salaam amechukua fomu ya kuomba kugombea...

READ MORE