Shirikisho la Muziki lampongeza Rais Magufuli
Rais Shirikisho la Muziki Tanzania, Addo November Mwasongwe.
Ndugu wanahabari leo hii tarehe 12 Novemba 2015 nimekuiteni hapa Kwenye ofisi zetu hapa Mlimani City kwa ajili ya mambo machache.
Nisingependa kuwapotezea Muda wenu mwingi…
