×

Tag: Afrika Kusini

Vyama vya Afrika Kusini vyakutana kujadili serekali ya umoja wa kitaifa

Vyama vya upinzani vya Afrika Kusini vimekutana Ijumaa na vitaendelea na mazungumzo hadi wiki ijayo kutafakari pendekezo la chama tawala...

READ MORE

Putin Kuhudhuria Mkutano wa BRICS Nchini Afrika Kusini

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema Jumapili kuwa mkutano wa kilele wa mwezi ujao wa BRICS, ambao Vladimir Putin...

READ MORE

Luvo Manyonga: Bingwa wa Dunia na Mshindi wa Olimpiki na Vita Yake ya Madawa ya Kulevya

MWANARIADHA wa mbio za kuruka Luvo Manyonga ambaye ni muathirika wa madawa ya kulevya yaitwayo Tik, hii ni aina ya...

READ MORE

Muafrika Kusini Akimbia Kilomita 90 Kumchumbia Mwanamke

MZEE mmoja mwenye umri wa miaka 57, aliyetambulika kwa jina la Joseph Kagiso Ndlovu, alikimbia mbio za kilomita 90 (maili...

READ MORE

Vijana Waliokufa kwenye Klabu Afrika Kusini Wazikwa

  Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa akiwa msibani baada ya kuhudhuria mazishi ya vijana waliokufa kwenye klabu nchini mwake...

READ MORE

Simba Yapata Balaa Jingine, Kiongozi Afrika Kusini Aishitaki CAF

MTENDAJI MKUU wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la nchini Afrika Kusini Tebogo Motlanthe amesema kitendo cha Klabu ya Simba...

READ MORE

Tanzia: Rais FW de Klerk Afariki Dunia

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, F.W de Klerk amefariki...

READ MORE

 Watu 115 Wazikwa Pamoja

WATU 115 walifariki katika mlipuko wa tenki la mafuta siku ya Ijumaa, nchini Sierra Leone wanazikwa kwa pamoja katika mji...

READ MORE

Milionea Mdogo Zaidi Akamatwa

KIJANA milionea maarufu nchini Afrika Kusini, Sandile Shezi mwenye umri wa miaka 23 ambaye anajiita ‘Milionea Mwenye Umri Mdogo Zaidi’...

READ MORE

Watu 212 Wauawa Kwenye Ghasia Afrika Kusini

IDADI ya waliokufa kutokana na ghasia zinazoendelea nchini Afrika Kusini imepanda na kufikia watu 212 kutoka vifo 117 vilivyoripotiwa siku...

READ MORE

Kimenuka! Maandamano ya Kumtoa Zuma Jela Yapamba Moto, Magari Yachomwa

Maelfu ya waandamanaji wanaotaka kuachiwa kwa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, wameingia mitaani na kuchoma magari kadhaa...

READ MORE

Breaking: Rais Zuma Ajisalimisha Polisi

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, amejisalimisha polisi kuanza kifungo cha miezi 15 jela baada ya kuhukumiwa kwa...

READ MORE

Wafuasi wa Rais Zuma Wazingira Nyumbani Kwake Asikamatwe

WAFUASI wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma wametengeneza kile wanachokiita ‘ngao ya binadamu’ nje ya nyumba yake...

READ MORE

Mahakama ya Zimbabwe Yabatilisha Uamuzi wa Rais Mnangagwa

Mahakama Kuu nchini Zimbabwe, jana ilitangaza kuwa, uamuzi wa Rais Emmerson Mnangagwa kumuongezea muda Jaji Mkuu wa nchi hiyo ni...

READ MORE

Mrithi wa Mfalme wa Wazulu Pasua Kizungumzkuti

Mzozo kuhusu ni nani atakayemrithi marehemu Mfalme wa Wazulu, Goodwill Zwelithini, sasa unaelekea mahakamani, vyombo vya habari vinaripoti. Hatua hiyo...

READ MORE

Tanzania, Sauzi, Nigeria… Marufuku Kuingia Oman

WASAFIRI wanaoingia Oman kutoka nchi 10 wamepigwa marufuku  kuingia nchini humo. Nchi zilizopigwa marufuku ni Tanzania Afrika Kusini, Lebanon, Sudan,...

READ MORE

Kocha Simba Atimuliwa Sauz

  PATRICK Aussems, kocha wa zamani wa Simba maarufu kama Uchebe, ameripotiwa kufutwa kazi na timu yake mpya ya Black...

READ MORE

Mchungaji Bushiri Atoroka Sauz Baada ya Dhamana

MCHUNGAJI maarufu Barani Afrika, Bushiri na  mke wake Mary, wametoroka nchini Afrika Kusini na kurejea kwao Malawi baada ya kuachiwa...

READ MORE

Rais Asimamisha Mshahara wa Waziri

RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa,  ametoa onyo kali kwa waziri wake wa ulinzi, Nosiviwe Mapisa – Nqakula,  na kusimamisha...

READ MORE

Wafanyakazi Waandamana Wakidai ‘Nyongeza ya Covid-19’

Wafanyakazi katika sekta ya afya pamoja na elimu jijini Johannesburg nchini afrika kusini wameandamana nje ya makao makuu ya jengo...

READ MORE

“Nilikwenda Sauz Kutafuta Maisha Nikajiunga na Genge la Ukabaji”- Part 2

SIMULIZI ya maisha ya Majaliwa Omary inaendelea na sasa tayari yupo nchini Afrika Kusini baada ya kuchukuliwa na ndugu yake....

READ MORE

Hatimaye Ndege Iliyozuiliwa Sauzi Yakabidhiwa Tanzania

NDEGE  ya Air Tanzania Airbus A220-300 iliyokuwa ikishikiliwa Afrika Kusini imekabidhiwa kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Dk. Damas...

READ MORE

Magori: Wasauz Wanaigombania Simba

IMEBAINIKA kuwa wakati Simba ikitarajiwa kuondoka kwenda Afrika Kusini kuweka kambi Jumatatu ijayo, klabu kibao za Sauz zimeomba kucheza mechi...

READ MORE

RAIS WA SHIRIKISHO LA MISRI AMPIGA CHINI KOCHA MKUU KISHA NAYE ABWAGA MANYANGA

BAADA ya timu ya Taifa ya Misri kutolewa hatua ya 16 bora na timu ya Afrika Kusini kwa kufungwa bao...

READ MORE

JPM, JK WAPAA SAUZI KWENYE SHEREHE – (PICHA + VIDEO)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  John  Magufuli,  leo Ijumaa, Mei 24, 2019 amkwenda Afrika Kusini ambapo kesho atahudhuria...

READ MORE

Maporomoko ya Udongo Yaua Watu 60

  MAPOROMOKO ya udongo yaliyotokana na mvua kubwa yamesababisha vifo vya watu 60 katika mikoa ya Durban na KwaZulu-Natal nchini...

READ MORE

BINTI WA LUCKY DUBE CHUPUCHUPU KUFARIKI

BINTI wa marehemu Lucky Dube, Bongi Dube chupuchupu kufariki dunia akiwa kwenye shoo, Durban nchini Afrika Kusini baada ya kutokea...

READ MORE

Video ya Ngono ya Waziri Yanaswa, Atakiwa Kulipa Sh. Mil. 700

WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Afrika Kusini, Malusi Gigaba, ametakiwa na mtu asiyejulikana kutoa Rand milioni tano (Sh. mil....

READ MORE

Rais Jacob Zuma Afika Mahakamani Kusikiliza Kesi Yake

Kesi ya rushwa ya aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma anayekabiliwa na tuhuma 16 zikiwemo za udanganyifu, ufisadi na kutakatisha...

READ MORE

Bunge Lamchagua Cyril Ramaphosa Kuwa Rais wa Afrika Kusini

BUNGE la Afrika Kusini limemchagua Mwenyekiti wa chama tawala cha ANC Cyril, kuwa Rais wa mpito wa nchi hiyo, mpaka...

READ MORE

Ramaphosa Aongoza Jahazi Kumung’oa Zuma Madarakani, Ampa Saa 48

  RAIS wa Afrika Kusini Jacob Zuma amepewa saa 48 kujiuzulu, wadhfa wake huo huku Kiongozi mpya wa ANC, Cyril...

READ MORE

WAZIMBABWE WASUBIRI KIONGOZI MWINGINE BAADA YA MUGABE

WANANCHI wa Zimbabwe hivi sasa wana shauku ya kumjua kiongozi wao mpya baada ya Robert Mugabe kuachia ngazi ya urais...

READ MORE

Sheria ya Makosa ya Mtandao Yamkamatisha Mhandisi Mzungu (VIDEO)

RAIA wa Afrika Kusini ambaye ni mhandisi, Menelaos Tsampos, leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa...

READ MORE

Rais Jacob Zuma Anusurika Kuong’olewa Madarakani

Rais Jacob Zuma aponea chupchup kung’olewa madarakani baada ya Wabunge wengi wa chama tawala, kumuunga mkono kura za kutokuwa na...

READ MORE

Bunge Afrika Kusini Lapiga Kura ya Kutokuwa na Imani na Rais Zuma

Wabunge nchini Afrika Kusini leo wanatarajia kupiga kura ya siri ya kuamua kuhusu hoja ya kutokuwa na imani na Rais...

READ MORE

‘Matepeli’ Wavamia Wageni Uwanja wa Oliver Tambo ‘Sauzi’

Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetoa tahadhari kwa Watanzania wanaoingia Afrika Kusini kupitia...

READ MORE

Afrika Kusini: Wazungu Waliomuingiza Kijana Mweusi Kwenye Jeneza Wafikishwa Kortini

AFRIKA KUSINI: Wakulima wawili wazungu watafikishwa mahakamani nchini Afrika Kusini, baada ya kutuhumiwa kuwa walimsukuma kijana mmoja mweusi na kumuingiza...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Afrika Kusini Auawa kwa Kuchomwa Visu Bungeni!

  MWANDISHI: WALUSANGA NDAKI| RISASI JUMAMOSI| NAKUJUZA ZAIDI KWA wanaokumbuka, siku hiyo shule zilifungwa, wafanyakazi serikalini waliowahi kazini asubuhi walirudi...

READ MORE

Rais Jacob Zuma Kawatumbua Mawaziri Wake 15

  Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amewafukuza kazi mawaziri wake 15 akiwemo Waziri wa Fedha Pravin Gordhan pamoja na naibu...

READ MORE