×

Tag: airtel

Makamu wa Rais Apokea Hundi ya Gawio Kutoka Kampuni ya Airtel Tanzania

          JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA                    ...

READ MORE

Baada ya Kusubiri Sana, Diamond Atambulisha Dili la Airtel kama Mpenzi Wake

NYOTA wa Muziki nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz usiku wa kuamkia leo ameingia...

READ MORE

Nape Nnauye Atua Airtel, Awahakikishia Ushirikiano

Airtel tunakushukuru sana Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Nape Nnauye kwa utayari wako na serikali wakushirikiana...

READ MORE

Balsingh Bosi Mpya Airtel

KAMPUNI ya Airtel Tanzania Plc imetangaza mabadiliko katika timu yake ya uongozi kwa kumteua Dinesh Balsingh kuwa Mkurugenzi Mkuu Mteule...

READ MORE

Airtel Yatoa Msaada Mil700/=Mapambano Dhidi  Ya Corona

  Kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel Tanzania leo imetoa kiasi cha Tzs 700,000,000 milioni (Milioni mia saba) kwa Wazira...

READ MORE

Airtel  Yaingia Ushirikiano na Mastercard Kuwezesha Wateja

    Kampuni ya simu za mkononi Airtel Tanzania leo imetangaza kuingia ushirikiano na Mastercard kwa kuzindua huduma ya Airtel...

READ MORE

Airtel Yaungana na Serikali Maandalizi Maandhimisho ya Miaka 20 Kumbukumbu ya Baba wa Taifa

  KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imeungana na Serikali kupitia ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi kwenye...

READ MORE

Airtel Yanogesha Wiki ya Huduma kwa Wateja

  AIRTEL yanogesha wiki ya huduma kwa wateja, yatangaza punguzo la simu za smartphone la hadi elfu 35 katika maduka...

READ MORE

Mwenyekiti Mpya Bodi ya Airtel Atembelea Makao Makuu

MWENYEKITI mpya wa bodi ya Airtel Tanzania, PLC Dkt Omary Nundu,  leo Juni 14, 2019,  ametembelea makao makuu ya Airtel...

READ MORE

Airtel yaingiza Smartphone ya gharama nafuu Sokoni

Dar-es-Salaam, Jumatano 12, Juni 2019: Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania leo kwa mara nyingine imeendeleza ushirikiano wake...

READ MORE

Walichokifanya Airtel, Hakijawahi Kutokea, Unapiga Mitandao Yote? – Video

  Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imeendelea kuwapa wateja wake huduma kabambe na za kipekee ikiwa ni...

READ MORE

WOMEN’S DAY: Airtel Divas Waja na Hii Kuwashukuru Wanaume Wote!

 Meneja Uhusiano wa Airtel Bi.  Dangio Kaniki na Jackson Mbando wakiwa na nyuso za furaha katika Siku ya Wanawake Duniani. ...

READ MORE

Airtel yazindua Dabo Data na SMATIKA

  Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania leo imetangaza kuzindua ofa mpya kwa wateja wake inayojulikana kama  Dabo Data...

READ MORE

Airtel Kusaidia Bima ya Afya Watoto Waishio Kwenye Mazingira Magumu

  Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kupitia kitengo chake cha Huduma kwa wateja wakubwa wameshiriki kampeni maalum...

READ MORE

JPM: Hatujawahi Kupata Hata Senti Tano Kutoka Airtel – VIDEO

Kampuni ya Mawasiliano ya Bharti Airtel, leo Jumanne, Januari 15, 2018 imesaini mkataba na Serikali ya Tanzania Ikulu jijini Dar...

READ MORE

Serikali Yasema Haiitambui Airtel Africa Ltd

Serikali imesema haitambui mchakato wa Kampuni ya Airtel Tanzania PLC kukaribisha mwanahisa mpya, Airtel Africa Ltd ndani ya kampuni hiyo....

READ MORE

Airtel kutoa 1.4TZS bilioni kama gawio kwa wateja wake wa Airtel Money

      Kampuni ya simu za mkononi Airtel Tanzania inatarajia kutoa jumla ya TZS1.4 bilioni kama gawio kwa wateja...

READ MORE

AIRTEL YAZINDUA MNARA WA 3G  MIKUMI, WATU 30,000 KUNUFAIKA

  KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel imezindua mnara wa mawaliano wenye uwezo wa kutoa huduma za Intanet kwa...

READ MORE

Airtel Money Branch yafunguliwa na kusajili laini

KAMPUNI ya simu za Mkononi ya Airtel, inaendelea na mpango wake wa kuboresha huduma zake, ambapo kwa sasa imekuja na...

READ MORE

Airtel Yazindua Hakatwi MTU HAPA –Tuma Pesa Bure Kupitia Airtel Money

Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza kwa utoaji wa huduma bora za Smartphone Airtel Tanzania kupitia huduma yake ya Airtel...

READ MORE

AIRTEL YATANGAZA WASHINDI PROMOSHENI YA AMSHA AMSHA

  KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel leo kwa kushirikiana na SportPesa imetangaza washindi wa kwanza wa promosheni ya...

READ MORE

Airtel, SportPesa wazindua promosheni kwa wateja wa Airtel Money

    KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel leo kwa kushirikiana na SportPesa imezindua promosheni ya mwezi mmoja ijulikanayo...

READ MORE

Airtel Na VETA Washirikiana Kuandaa Kongamano La Elimu Kupitia Mtandao

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kwa kushirikiana na Mamlaka ya Elimu ya Ufundi Tanzania VETA wameshiriki kongamano...

READ MORE

Airtel yaja na Fursa ya wekeza na Airtel Money Branch

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kupitia Airtel money imedhamiria kuwakomboa Watanzania kwa kutoa ajira kwa kuanzisha ushirikiano...

READ MORE

Airtel Money Yagawa Bilioni 14 Kwa Wateja

  Airtel Tanzania imetoa gawio linalofikia shilingi bilioni 14.8 hadi sasa kwa wateja wake na mawakala nchi nzima ikiwa ni...

READ MORE

Airtel Money Yatangaza kugawa gawio la bilioni 1.8 leo kwa robo Ya Mwaka

Airtel Tanzania imetoa gawio linalofikia shilingi bilioni 14.8 hadi sasa kwa wateja wake na mawakala nchi nzima ikiwa ni  sehemu...

READ MORE

Mazungumzo Kati ya Serikali na Airtel Yaanza Rasmi Dar

Mazungumzo kati ya Kamati Maalum iliyoundwa na Rais Dkt. Magufuli na Kampuni ya Bharti Airtel yameanza rasmi leo tarehe 12...

READ MORE

Wateja Wa Airtel Wajishindia Smartphone na Modem

WATEJA wa Kampuni ya Simu za mkononi Airtel Tanzania wameendelea kujishindia zawadi mbali mbali kwenye promosheni inayoendelea ya SHINDA NA...

READ MORE

AIRTEL YAWAZAWADIA WASHINDI WA SHINDA NA SMATIKA

Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mbando,akimpigia simu mmoja wa washindi.    KAMPUNI ya simu za mikononi ya Airtel Leo imeendesha...

READ MORE

AIRTEL YAZAWADIA WATEJA 2,000 INTENETI BURE TENA

    KAMPUNI ya simu za mkokoni Airtel Tanzania leo imewazadia washindi 2,000 wa droo ya Pili wa promosheni ya...

READ MORE

WASHINDI 2,000 WAIBUKA KIDEDEA SMATIKA YA AIRTEL

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mbando,(katikati) akiwapigia simu washindi wa  Yatosha SMATIKA Internet  baada ya kuchezeshwa droo kwa kuwapatia bando...

READ MORE

Airtel Yagawa Bilioni 1.7 kwa Watumiaji wa Airtel Money

    KAMPUNI simu ya Airtel Tanzania leo Januari 18, mwaka huu imetangaza kugawa neema ya pesa za Kitanzania Shilingi...

READ MORE

Airtel Waijibu Serikali Kuhusu Sakata la Ubinafsishaji wa TTCL

Statement from Bharti Airtel: We have noted with concern the statement made by the Hon’ble Finance Minister on Jan 11,...

READ MORE

Taarifa ya Uchunguzi Kuhusu Umiliki wa Airtel Yawasilishwa kwa JPM

Serikali imesema ubinafsishaji wa Kampuni ya Airtel uligubikwa na ukiukwaji wa heria, Kanuni na Taratibu. Mazungumzo kufanyika ili nchi ipate...

READ MORE

BOT Yataka Taarifa Ya Fedha Ya Celtel, Zain & Airtel 2000/17

Barua toka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuziagiza taasisi zote za fedha nchini kuwasilisha taarifa za fedha za Celtel, Zain...

READ MORE

Baada ya JPM Kuchokonoa, TTCL Waanika Mazito ya Airtel

  KUFUATIA Rais Dkt. John Magufuli kueleza jana Mjini Dodoma kuwa Serikali imebaini kwamba Kampuni ya Mawasiliano ya Airtel ni...

READ MORE

JPM Abaini Airtel ni Mali ya Serikali, Ataka Uchunguzi Ufanyike (Video)

RAIS Dkt. John Magufuli amesema Serikali imebaini kuwa kampuni ya Mawasiliano ya Bharti Airtel ni mali ya Shirika la Mawasiliani Tanzania...

READ MORE

Airtel Yatangaza GB Zaidi Bando za Yatosha Intaneti

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imekutana na watangazi wa radio mbalimbali  nchini na kuongelea ongezeko la faida...

READ MORE