GlobalNewsUpdates: Gari Lagonga na Kuua Mmoja Karibu na Msikiti
LONDON, UINGEREZA: Mtu mmoja ameuawa na wengine wanane kujeruhiwa baada ya gari kugonga umati wa watu waliokuwa wakitembea karibu na msikiti Kaskazini mwa Jiji la London.
Mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 48 amekamatwa kufuati kisa…
