Akaunti ya Mwanafunzi Yakutwa na Bil 2.3
MAHAKAMA ya kupambana na rushwa nchini Kenya imeagiza akaunti ya benki ya ya mwanafunzi, Felesta Njoroge (21) ifungwe kwa siku 90 ili kuruhusu Wakala wa Urejeshaji Mali (ARA) kufahamu chanzo cha TSH bilioni 2.3 zilizopo kwenye akaunti…
