Aliyemchinja mama yake kisa ni hiki
Kijana Erasto Kilaini anayedaiwa kumuua mama yake.
Na Waandishi Wetu, UWAZI
DAR ES SALAAM: Simulizi inauma! Baada ya Erasto Kilaini, 23, (pichani) mkazi wa Mtaa wa Fida Hussein, Vingunguti Kiembembuzi, Dar kumchinja mpaka kumuua mama…
