Magufuli Atunuku Kamisheni Maofisa 146 JWTZ – Video
AMIRI Jeshi Mkuu Majeshi ya Ulinzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli, akikagua gwaride la heshima la maofisa-wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kabla ya kuwatunuku kamisheni maofisa wapya 146 wa…
