The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Azam

Azam Yatua Lindi Kibabe

KIKOSI cha Azam FC, kimeshuka mkoani Lindi, kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Namungo utakaochezwa keshokutwa Jumatano. Timu hizo mbili zitakutana kwenye Uwanja wa Ilulu, Lindi, huku Namungo walio kwenye kiwango bora msimu…

Azam FC Yawapa Somo Yanga

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino ya Azam FC Thabith Chumwi Zakaria ‘Zaka Zakazi’ ameingilia kati sakata la Malalamiko ya Waamuzi lililoibuliwa na Young Africans Jumanne (Februari 08). Idara ya Habari na Mawasilino ya…

Azam Yapiga Mtu 4G kwa Ubuyu

KLABU ya Mpira wa Miguu Azam FC imenyakua pointi tatu muhimu baada ya kuibuka na ushindi wa goli 4 bila dhidi ya Tanzania prisons katika uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga. Magoli ya Azam yalifungwa na Tepsie 27’, Ismail 69’,…

Azam FC Waipigia Tizi Simba Usiku

OFISA Habari wa Azam FC, Thabiti Zakaria amefunguka na kuelezea maandalizi yao ya kuwamaliza Simba kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Januari Mosi, mwakani huku Simba wakiwa wenyeji wa Azam katika…

Sure Boy Agomea Mazoezi Azam

BAADA ya Kocha Mkuu anayeishikilia Azam kwa muda, Mmarekani Abdihamid Moallin kuomba kwa wakongwe Aggrey Morris, Salum Aboubakar Sure Boy na Mudathiri Yahaya, ambao walisimamishwa kwa makosa na utovu wa nidhamu kurejea kambini, Sure Boy…

Kocha Azam Alia Kumkosa Nado

KOCHA msaidizi wa klabu ya Azam, Vivier Bahati ameweka wazi kuwa miongoni mwa changamoto kubwa ambayo kikosi chao kinapitia kwa sasa, ni kuwepo kwa kundi kubwa la wachezaji muhimu ambao ni majeruhi. Azam jana Jumapili…

Azam FC Yamuibua Manara

Afisa Habari wa Yanga,Haji Manara amesema kuwa licha ya kutambua ubora wa Azam FC lakini anaamini kuwa kikosi cha Yanga kina uwezo mkubwa wa kuondoka na ushindi mbele ya Azam FC. Yanga Oktoba 30, katika Uwanja wa Benjamini Mkapa…

CEO Azam Asuka Mipango ya Ubingwa

KATIKA kuhakikisha kuwa wanakuwa na kikosi imara ambacho kitakuwa na uwezo wa kupambania makombe katika michuano wanayoshiriki, uongozi wa klabu ya Azam umefikia makubaliano ya kuimarisha mabenchi yao ya ufundi ya U17, na U20 kwa…

Azam FC Yatangaza Vita

KOCHA Msaidizi wa Azam, Vivier Bahati, ameweka wazi kuwa malengo makubwa ya timu yao msimu huu wa 2021/22 ni kuhakikisha wanashinda ubingwa wa Ligi Kuu Bara kama ilivyokuwa msimu wa 2013/14. Azam juzi ilikuwa na kibarua…

Dube: Nitarudi kwa Moto Sana

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Prince Dube, ameahidi kurejea kwa nguvu zote uwanjani baada ya kupona majeraha yake ya enka. Akizungumza na Spoti Xtra, Dube alisema: “Baada ya kufanyiwa upasuaji, kwa sasa naendelea vizuri kuuguza jeraha…

Lwandamina Amaliza Mchezo kwa Wasomali

KOCHA Mkuu wa Azam, George Lwandamina, ameweka wazi kuwa wana matumaini makubwa ya kupata matokeo mazuri katika mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Horseed ya Somalia, ili kujiandaa na mchezo wa raundi ya kwanza…

Azam Wawaweka kando Waarabu

NAHODHA na beki wa kati wa Azam, Aggrey Morris ameibuka na kusema kuwa kwa sasa akili na malengo yao yapo katika mchezo wao wa marudiano dhidi ya Horseed ya Somalia na si kwa Pyramids ya Misri. Azam imefanikiwa kushinda…

Kiungo Mkenya Asepa Azam

KIUNGO wa kimataifa wa Kenya na klabu ya Azam, Kenneth Muguna leo Jumatatu anatarajiwa kuanza safari ya kuondoka kwenye kambi ya timu hiyo Ndola, Zambia kurejea kwao kujiunga na kikosi cha timu yao ya taifa. Azam ipo Ndola,…