Baba P… Baba Pili… Baba Pilima!-17
ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA:
“He! Mume wa mama Pilima?”
“Ndiyo...”
“Mbona hata mimi pia imekuwa hivyo...”
“Wewe lini?”
“Muda si mrefu ndugu yangu.”
Simu ya mama Pilima iliita akiwa nje ya baa hiyo, alipoangalia mpigaji ni…
