Kwa Mara ya Kwanza, Dayna Nyange Anyakua Tuzo za Kimataifa
MWANADADA matata kwenye game ya Bongo Fleva, Dayna Nyange amekuwa Mtanzania pekee kuibuka mshindi wa Tuzo mbili za BAE Awards 2017zilizofanyika nchini Nigeria.
Dayna Nyange ameshibnda vipengele viwili ambavyo ni BEST AFRICAN ACT…
