Soma Hapa… Makadirio Na Matumizi Ya Bajeti Kuu 2024/2025 – Video
Waziri wa Fedha ,Mwigulu Nchemba amesema serikali imesikia kilio cha kikokotoo kutoka kwa wastaafu ambapo sasa Rais Samia Sukuhu Hassan ameelekeza kuongezwa malipo ya mkupuo kutoka asilimia 33 iliopo sasa hadi asilimia 40.
