Licha ya Kuchemka Katika Premier League, Man U Inaongoza kwa Mkwanja Ulaya
Licha ya kushika nafasi ya sita katika Premier League msimu wa 2016/17, Manchester United imetajwa kuwa ndiyo klabu yenye thamani kubwa zaidi Ulaya ikiifunika Real Madrid.
Utafiti uliofanywa na taasisi ya KPMG imeonyesha kuwa Man…
