Paula: Tunatumia Helikopta Kwenda Sokoni, Awaonya Wenye Makasiriko Kukaa Kimya
KAMA wewe ni mfuatiliaji wa Bongo Movies utakuwa unamjua Kajala Masanja au Frida Kajala na kama ni mfuatiliaji wa mitandao ya kijamii utakuwa umesikia jina la Paula Kajala.
Paula Kajala ni binti wa Kajala au Mama…
