×

Tag: burudani

#GlobalCelebrityUpdates: Itazame Movie Trailer Ya ‘All Eyes On Me’ Inayosimulia Maisha Ya Tupac Shakur – (Video)

Kwa wale mashabiki wa TuPac Shakur na muziki wa Hip Hop kwa ujumla pokeeni official movie trailer ya ‘ All...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Akothee Afanya Matanuzi Zurich Na Gari Jipya Aina Ya ‘Porsche Cayenne’ – (Pichaz).

Kwenye Celebrity Updates za leo April 07 2017 ninayo hii ya Madam Boss wa 254 Akothee kutokea pande za Zurich....

READ MORE

Yasome Kwenye Tovuti Yetu Magazeti Yote Tanzania Aprili 06, 2017 ya Udaku, Hardnews na michezo

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, April 06, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

R.O.M.A, Nature Kulihamisha Jiji Dar Live!

  Mwandishi Wetu | Dar es Salaam WAKALI wasioshikika katika Muziki wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Musa ‘R.O.M.A Mka­toliki’ pamoja na...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Baada Ya Davido Na Wizkid, Tekno Nae Adondosha Wino Na SONY Music.

Baada ya kufanya vizuri na single yake ya Pana, Tekno anazidi kupasua anga level za kimataifa.  Mtandao wa Billboard umethibitisha taarifa...

READ MORE

NUH: Nilikula Mikwara Nikabadili Dini

STORI: NA PHILLIP NKINI |CHAMPIONI JUMATANO| Dar es Salaam MUZIKI wa Bongo Fleva, umekuwa ukipanda kwa kasi ya hali ya juu sana...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Burna Boy Ala POVU La Wakenya Baada Ya Kushindwa Kufanya Show Yenye Kiwango – (Twitter)

Ukitaka kuona umoja wa Wakenya fanja jambo uzingue alafu lipeleke kwenye mitandao ya kijamii, hawatokuacha bure!  Msanii wa Nigeria Burna...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Trey Songz Azungumzia Kuoa, Mapenzi na Nicki Minaj + Diss Track Ya Remmy Ma & Mengine Kwenye Beats 1 Radio – (Video)

Kwa wale wafuatiliaji wa muziki wa R&B superstaa Trey Songz, album yake ya saba Tremaine tayari imeshatoka na inagusa vitu...

READ MORE

#GlobalMusic: Rock City Rapa COYO Amerudi Na Nyingine Mpya ‘ZIWAFIKIE’ – (Official Music Video)

Kwa wale wadau wote wa Hip Hop na wenye mapenzi ya dhati na Mwanza, ipokee nyingine mpya kutoka kwa Tetemesha...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Harmo Rappa Apigwa Chupa Maisha Basement Kisa ‘Kiboko Ya Mabisho’ – (Pichaz& Video)

  Good morning mdau, leo kwenye Celebrity Updates ninazo zile zilizobamba over the weekend ikiwemo hii ya msanii anaechipukia kwa...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Tazama Jinsi IlivyokuwaKwenye Uzinduzi Wa Album Mpya Ya Lady Jay Dee ‘WOMAN’ – (Photos & Video)

Siku ya Ijumaa tarehe 31 Machi ilikuwa siku muhimu sana kwa Malkia wa Bongo Fleva Lady Jay Dee ambaye alikuwa...

READ MORE

Tazama LIVE Event ya Tuzo za Malkia wa Nguvu – Mwalimu Nyerere Conversion Center

Tazama LIVE Event ya Tuzo za Malkia wa Nguvu -PART 1 Tazama LIVE Event ya Tuzo za Malkia wa Nguvu...

READ MORE

Ulimmisi Solo Thang? Huyu Hapa!

MAKALA: ERICK EVARIST |RISASI JUMAMOSI| RISASI VIBES KWA kizazi kile kilichokuwa na ufahamu wa muziki miaka ya 2000, jina la...

READ MORE

#GlobalMusic: Wizkid Feat. Drake ‘Come Closer’ – (Official Audio Release)

Baada ya kuikamata dunia na single ya ‘One Dance’, Wizkid na Drake wamerudi tena  na nyingine mpya this time Drake...

READ MORE

#GlobalMusic: K.O Apigania Penzi La Mtoto Wa Kitajiri Kwenye ‘Pretty Young Thing’ – (Video)

Rappa kutoka South Africa na Boss wa Cashtime Life K.O anaileta kwetu official music video ya wimbo wa ‘Pretty Young...

READ MORE

#GlobalUpdates: Samsung Wanatuambia Wao Ndio Wa Kwanza Kuwa Na Upgrade Hii Kwenye Soko La Simu Duniani – (Video)

Moja kati ya habari zinazobamba kwenye mitandao leo Machi 30 2017 ni pamoja na toleo jipya la simu ya Samsung...

READ MORE

#GlobalMusic: Itazame Official Music Video Ya ‘Tito Mboweni’ Kutoka Kwa Cassper Nyovest – (Video)

  Rapper kutoka South Africa Cassper Nyovest ameachia official music video ya wimbo wake mpya Tito Mboweni. Itazame hapa chini....

READ MORE

#GlobalCelebrities: Akothee Awakingia Kifua Single Mamas, Awatolea Povu Wale Wanaojifanya Wajuaji Wa Kulea! – (Soma)

  Kwenye zile posts na captions za mastaa zinazotrend Instagram, ongeza na hii ya #MadamBoss Akothee kutoka Kenya ambaye ujumbe...

READ MORE

Rammy Amtupia Ndoano Sanchi

STORI: IMELDA MTEMA | AMANI | Showbiz Xtra STAA wa sinema za Kibongo, Rammy Galis amedai kuwa baada ya kumwagana na...

READ MORE

R.O.M.A Sasa Kama Nas

Makala: Boniphace Ngumije | RISASI JUMATANO| RISASI VIVES MAPEMA mwanzoni mwa miaka ya 2000 baada ya dunia kushuhudia ‘battle’ ya wakali wa...

READ MORE

#GlobalUpdates: Baada Ya Instagram Na WhatsApp, Facebook Nao Waja Feature Mpya Ya ‘Facebook Stories’

Kampuni ya Facebook inazidi kukoleza moto vita yake dhidi ya Snapchat. Baada ya kuisogeza ‘stories’ kwenye Instagram na WhatsApp, kampuni...

READ MORE

#BongoMovie: Kiza cha Mdomo -Part 2

Usiikose Kutazama #BongoMovie hii ya #KizaChaMdomo leo #Jumanne, #Machi28, saa 1:30 Usiku kupitia #YouTube Channel ya #GlobalTVOnline#Live  #MzeeMajuto Yumo ndani… #Usikose...

READ MORE

#GlobalMusic: Itazame ‘Yolo Yolo’ Mpya Kutoka Kwa Seyi Shay – (Video)

Imepita muda kidogo toka tumsikie mkali wa R&B kutoka Nigeria Seyi Shay na kama ulikuwa umemiss kuwa na nyimbo zake...

READ MORE

Nay wa Mitego Ahamishiwa Sentro Dar, Huenda Akapandishwa Mahakamani!

DAR ES SALAAM: Rapper Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ jana jioni alihamishiwa katika Kituo cha Kikuu cha Polisi (Sentro) jijini...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Future Azungumzia Uhusiano Wake Na Ciara Kwa Sasa, Uongozi Wa Donald Trump & Mengine.

Baada ya kuachana na aliyekuwa girlfriend wake wakati huo Ciara, Future amefanya interview na jarida la Billboard Magazine na kufunguka baadhi ya...

READ MORE

#GlobalUpdates: Kwa Wale Wanaopenda Kujiachia, Instagram Kuanza Kuficha Picha Na Videos Za Utupu! – (Pichaz)

Instagram wanazidi kuboresha matumizi ya App yao ikiwa ni sehemu ya ahadi waliyoitoa September mwaka jana kuifanya App hiyo ‘sehemu...

READ MORE

#GlobalMusic: H_Art The Band x Lady JayDee Waachana Njia Panda Safari Ya Mapenzi Kwenye ‘Rosella’ – (Video)

Kwenye zile zinazotrend wekeend hii kutoka East Africa ni pamoja na hii ya H_Art The Band kutoka Kenya na Malkia...

READ MORE

#GlobalMusic: Isikilize ‘Fool For You’ Ngoma Mpya Ya Wizkid Iliyovuja – (Audio)

Baada ya ku-sign dili nono na SONY mkali wa muziki kutoka Nigeria Wizkid  amerudi na nyingine mpya. Mwanzoni mwa mwaka...

READ MORE

Mrisho Mpoto Akiri Siasa Kuharibu Sanaa

STORI: ANDREW CARLOS | RISASI JUMAMOSI | MIKITO NUSUNUSU WAKATI kila kona gumzo likiwa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul...

READ MORE

Jike Shupa Ajutia Mitungi

  STORI: IMELDA MTEMA | RISASI JUMAMOSI | DAR ES SALAAM MREMBO ambaye chimbuko lake ni Video Queen Bongo, Zena...

READ MORE

Shilole: Nikichemka Muziki, Nakuwa Mama Lishe

  STORI: GLADNESS MALLYA | RISASI JUMAMOSI | DAR ES SALAAM STAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameibuka...

READ MORE

VIDEO: Lulu Diva Apigana na Meneja Wake Kwenye Birthday

Mwanamuziki anayetamba na nyimbo, Milele na Usimwache, Lulu Diva amefanya kituko kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ‘birthday’  baada...

READ MORE

#GlobalMusic: Ipokee ‘TOLA’ Collabo Nyingine Ya Vanessa Mdee na Tay Grin Kutoka Malawi – (Video)

Baada ya kushirikiana na Orezi na Legendury Beatz wa Nigeria, Cash Madame wa Bongo Fleva Vanessa Mdee anatupeleka Malawi weekend...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Davido Azianika Sababu Za Kutemana Na Lebo Ya SONY

Baada ya kujitoa kwenye label ya muziki ya Sony, Davido amejitokeza kuzungumza sababu zilizomsukuma kufanya maamuzi hayo. Kwenye pitapita yangu...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Kama Ilikupita Itazame Episode 1 ya MTV Shuga ‘Down South’ Feat. Vanessa Mdee

Season 5 ya MTV Shuga (Down South) Ipo hewani tayari  na Vanessa Mdee ni miongoni mwa sura mpya zinazoonekana kwenye...

READ MORE

Tanzania “Big Ishu Awards”… Hii Si ya Kukosa

Kwa mara ya kwanza Candy and candy group of companies wanakuletea Tuzo ya heshima Tanzania “BIG ISHU AWARDS” Tuzo hiyo...

READ MORE

Izzo Bizness Akiri Skendo Kumrudisha Nyuma

BONIPHACE NGUMIJE | RISASI JUMAMOSI | Mikito Nusunusu| DAR ES SALAAM MKALI wa michano Bongo, Emmanuel Semwinga ‘Izzo Bizness’ amefunguka...

READ MORE

#GlobalMusic: Ule Wimbo Mpya Aliyousema Vanessa Mdee Ndio Huu ‘Just Like That’ – (Video)

Siku mbili zilizopita Vanessa Mdee alitweet kuwa kuna wimbo mpya unakuja wiki hii, na kama ulikuwa standby kupokea kazi mpya...

READ MORE