Camon 18 Yavunja Rekodi Baada Ya Kuingia Sokoni
Simu ya TECNO CAMON 18 yavunja rekodi ya mauza ndani ya wiki mbili kuingia sokoni. Simu zaidi ya 800 zimeuzwa Tanzania nzima ndani yam da wa wiki mbili.
Hii inapelekea jinsi mwitikio mkubwa wa watu walivyoipokea simu hii ya CAMON…
