Tecno Camon 16s Kuingia Sokoni Hivi Karibuni
Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO inatarajia kuzindua simu mpya ya TECNO CAMON 16s, ni simu ambayo inakuja na teknolojia kubwa ya kamera na uwezo mkubwa utakaowanufaisha watumiaji katika shughuli zao za kiofisi na kiuchumi, taarifa…
