Mshukiwa wa Pili wa Mauaji ya Watu 10 Waliochomwa Kisu Canada, Akutwa Amefariki
MSHUKIWA wa pili wa mauaji ya watu 10 waliochomwa kisu aliyekuwa anatafutwa na Polisi wa Canada, Myles Sanderson amekutwa amefariki dunia katika Jimbo la Saskatchewan.
Shirika moja la habari nchini humo limesema kuwa kabla…
